Nashindwa kuelewa tusimame kwenye kauli ya yupi!!
Sielewi ni kauli ya yupi ina uhalali baina ya hawa wawili!!
Sielewi mbaya hasa kwa mujibu wa sheria hapa ni nani,baina ya wanaosemwa wanatukana viongozi mitandaoni,na huyu anaetangaza kuwapoteza hao wanaotukana viongozi mitandaoni tena kwa...
Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa wanasiasa na watendaji kupata promo za kiuchaguzi.
Waelewe kuwa wananchi wa leo wameelemika mno ni vizuri...
Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.
Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme...
Katika maisha yetu ya kila siku, kwa kujua au bila kujua inaweza kutokea mwenza/mpenzi wako, au rafiki au ndugu akatoa maneno kwako au kauli kwako (Huenda bila kukusudia) lakini ukajikuta kauli hiyo imekukera sana na kukusababishia hamaki na kuleta sintofahamu kati yenu.
Wakati mwingine...
Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati".
Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado mambo hayajaharibika sana? Au kipimo cha kuharibika sana kwa mambo ni kipi?
Kwema Wakuu!
Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai.
Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali.
Miongoni mwa...
Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”.
Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa kikosi hiki.
Ukija katika maisha ya kawaida, hautakiwi kukata tamaa, pambana sana na usifikirie...
Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:-
1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya.
2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn.
3. Pascal...
Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni..
Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
1.Nilipokua Mdogo Niliibiwa Baiskeli Yangu Mama akaniambia" Huyo mtu ameiba Baiskeli yako ajaiba Bahati yako.
2. Nilipokua nasoma Kuna siku Moja niriludishwa Shule kwa ajiri ya Ada, niliporudi Nyumbani mama akaniambia kapumzike/Kalale nilipoamka akaniambia Chukua madaftari yako usome.(Na kile...
Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele.
Hata hivyo, muda si mrefu...
Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu.
Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia...
1:Try Again
"Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika"
Hii ilikuwa ni baada ya Young Africans Sports Club kufika fainali ya kombe la...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani.
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata miezi sita akaanza pangua pangua ya viongozi wakubwa pale ikulu akiwemo aliekuwa...
Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake.
Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki.
Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace
Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
Sikutaka kusema haya lakini ni bora niyaseme Sasa ili 2025 baada ya kampeni ndefu ninayokusudia kuifanya inayokwenda kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU kukamilika na matokeo kuonekana ,isije ikatokea watu wakapotoshwa na upotoshaji ukageuka ukweli, Kwa hiyo mada hii inabaki kuwa kumbukumbu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.