kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo.
mtazame kwa mjibu wa millardayo
https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne.
Vyombo vya habari vya Italia vilihusisha papa kutumia neno chafu la Kiitaliano linalotafsiriwa kama "f*****ry," tarehe 20 Mei wakati wa...
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema
CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi
Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
Waziri wa Mawasiliano, Nae Nnauye ametoa kauli ambayo kwangu naona inashida aidha kwake kwenye kuitambua mawasiliano au digitali kwa ujumla. Bajeti ya Wizara ya mawasiliano ya mwaka wa fedha 2024/25 imetaja “Mapinduzi ya Kidijitali” mara kadhaa. Sera na mipango mingi ya wizara inataja Kwenda...
Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake.
"Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu".
Mwamba ameongea ukweli hapa!
WATU MPAKA WAFE NDIO...
BUNGE LAPITISHA BAJETI WIZARA YA UJENZI KWA ASILIMIA 100
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na...
Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na aina za kodi tunazopaswa lipa.
Nafahamu kuna kitengo cha elimu kwa mlipakodi wito wangu kiongeze...
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi.
vyama na wanasiasa...
Shalom,
Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose.
Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa Bi Hassan tunayaona mengi sana, yeye mwenyewe alisema ana chawa wake.
Wakati wa hatari kuna namna...
UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔
1.Wanaume/wanawake wote hawafai.
2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji.
3.Nawachukia sana wanaume/wanawake
4.Hata wewe ni wale wale tu.
5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume.
KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
Ndugu zangu Watanzania,
Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo watanzania wengi wameonyesha kuchukizwa na kauli za Lissu ambazo zinatokana na uchu na uroho wake wa...
Wakuu,,
Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba waliondoka TBC FM kwa kusema Wanaacha kazi Badala ya kusema kuwa wanahama kutoka TBC FM (zamani) kwenda...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria ya watoa taarifa kulindwa, haimaanishi watu kujikite kutoa za uongo, huku wakidai walindwe.
Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Aprili 28, 2024 alipotoa elimu kwa umma akijibu kilichoelezwa na Meya wa zamani wa...
Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Tume ya madini, kama mmemsikia majibu ya waziri Mkuu aliyotoa Bungeni leo Aprili 18, 2024, basi msiwe na kigugumizi kuhusu kuifuta PL/6973/2011.
Sababu za kuomba ifutwe na kukubaliana na kauli ya waziri Mkuu hizi hapa:
1. Ilisha kwisha muda wake.
2. Ishapewa au kutengewa wachimbaji wadogo...
Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao.
Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma.
Tujisahihishe. Bado hatujachelewa
Pia soma: Rais Samia...
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.