kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    "Hata muonekano wake tu unaonyesha", "hata sura yake..." ni kauli za hovyo sana zilizoshika mizizi.

    Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku...
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  3. Analogia Malenga

    Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  4. Informer

    Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  5. J

    Pre GE2025 Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu

    Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu Na Mwandishi Wetu MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda. Wengine zaidi ya 2,000,000 walikimbia nchi na kwenda maeneo mbalimbali...
  6. Stuxnet

    Kwa Kauli Hii ya Twaha Mwaipaya, Jeshi la Polisi Limechukua Hatua Stahiki

    Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024 Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
  7. GENTAMYCINE

    Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

    Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume. "Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
  8. L

    Watanzania Tujitokeze Kulaani na Kukemea Vikali kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais Wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja...
  9. D

    Kauli gani ya motivational Speaker iliwahi kukuacha hoi?

    Kuna huyu aliyesema; " I stared my restaurant with one spoon of rice and one drop tomato sauce"
  10. Robert Heriel Mtibeli

    "Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

    Habari za Sabato Mkûu! Ni Jambo la kawaida Kabisa kusikia Watu hasa Wanawake Wakitumia kauli za namna hii katika mazîngira tofautitofauti Kwa mfano wakichambana, kusutana au Wakati wakisikia unamsifia Mwanamke mwenzao àmbaye hajaolewa lakini amefikisha Umri WA kuolewa. Mfano wa kauli hizô; 1...
  11. Mr Why

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya vijana inayosema kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane" https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
  12. Paul dybala

    'Kama mwanaume kweli nipige,,'hii kauli ingenifanya niwe polisi saivi

    Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia...
  13. Pascal Mayalla

    Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  14. 1911

    Kauli za kipuuzi zinazotolewa na viongozi kukwepa uwajibikaji

    1. Serikali imejitahidi sana 😪😪 2. Ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya nini?😥😥 3. Sio kazi ya serikali kumletea mwananchi maendeleo binafsi, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira. 😕😕😕 4. Tanzania ndio nchi pekee yenye kiwango kidogo cha ———, mmeona nchi X, Y, Z?😠😠 5. Deni letu ni...
  15. T

    4R, Tume Huru na Kauli ya Nape, tupo njia panda kwa sasa

    Wananchi tuko kwenye mtanziko kilichopo hasa ni nini. Twende na kipi, Serikali imetumia pesa nyingi kutunga sheria mpya ya uchaguzi, mikutano ya Mabaraza ya vyama na kadhalika. Lakini sasa tunaambiwa kuwa ushindi utapatikana nje ya sanduku. Sasa kipi ni kipi hasa,Kauli ya kukanusha ya Makalla...
  16. R

    Tudadavue kauli hiiya Rais Samia: Polisi hongereni sana, nchi imetulia

    "Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia Maelekezo gani? My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji...
  17. Yoda

    Hakuna kauli nyingine za kuombeleza kifo kwa Waswahili zaidi ya hizi

    Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo, 1. Maisha ni fumbo, 2. Tumeumbiwa kifo, 3. Kifo ni kitendawili 4. Tunatembea na kifo 5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini) Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
  18. BabaMorgan

    Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

    Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa.. Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
  19. Mpigania uhuru wa pili

    Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  20. GoldDhahabu

    Kauli ya "Rais katoa hela" ni sahihi kwa kiasi gani?

    Ni kauli ambayo ilianza kutumika sana kipindi cha Magufuli na kutia mizizi katika utawala wa Samia. Ni kauli inayotumiwa na wanasiasa na watendaji wa Serikali! Kwa sasa ni kawaida kusikia: 1. Rais katoa hela ya kujenga maabara! 2. Mama katoa fedha za kujengea shule 3. Dr. Samia katoa...
Back
Top Bottom