kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Hii Kauli "Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" huwa ni ya uongo

    Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa. Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke. Kama yupo nikumbusheni. Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama...
  2. Etugrul Bey

    Kuna ukweli katika kauli hizi kisaikolojia

    Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...
  3. Paul dybala

    Hivi hii kauli ya "ndio hivyo sasa" ina maana gani ukijibiwa na mke wako

    Wakuu, iko hivi: Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini ahakikishe anawahi kufunga ili ratiba zingine za nyumbani zisiharibike, maana anapenda sana kupika usiku...
  4. Mohamed Said

    Historia ya TANU: Umoja na Mshikamano Kauli Mbiu ya Wananchi Uhuru na Umoja

  5. Tman900

    Kauli " Mwanamke Shetan"

    Mara Nyingi sana huwa nasikia watu wakisema mwanamke Shetani, je hili swala likoje, na Kuna ushahidi wowote inaonyesha kua mwanamke ni Shetani, na Je Kuna Uhusiano Gani kati ya Mwanamke kupenda sana Pesa, kiasi Jamii Mzima Inaamini Mwanamke anapenda sana Pesa + Mali + Vitu. Je ushetani wa...
  6. S

    Je, ni kweli Raisi Samia ametoa kauli hii: "tunataka anaepokea simu na yeye awe na salio ili kuimalisha uchumi"?

    Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli. Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli? Kama ni kweli, kauli hiyo kaitoa lini na wapi? Kama ni kweli, mimi naona itakuwa poa tu ili siku...
  7. Alejandroz

    Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

    " Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa ameridhia mwenyewe. Sitaki hadithi kesho iwe tofauti. Wanawake wengi huamini na kudhani kuwa...
  8. U

    Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  9. Torra Siabba

    LGE2024 Kauli za kuupoteza Upinzani Nchini zinavyopoteza Wananchi kujiandikisha kupiga kura Tabora

    Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa. Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
  10. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  11. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  12. Mkongwe Mzoefu

    Kumbukizi Miaka 25 ya Nyerere; CCM Imetutosa Wastaafu, Kutudanganya na Kutudharau kwa Kauli za Mwigulu Bungeni

    Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
  13. Sodoku

    Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  14. masopakyindi

    Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  15. L

    CHADEMA Wazikana Kauli za Baraza la Wazee kwa kusema siyo Msimamo wa chama

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA kwa sasa ni kama wanajenga mnara wa Babeli.chama ni kama hakina uongozi wala hakifanyi vikao wala kuwa na mipango na mikakati ya pamoja . Ndio maana kila mtu hujitokeza hadharani kwa kukurupuka na mihemuko na kujiropokea chochote kile kinachomjia Mdomoni mwake...
  16. JanguKamaJangu

    Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  17. milele amina

    Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi...
  18. Mystery

    Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
  19. Tman900

    Kauli za Mjomba Wangu

    Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu. 1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu anakula siku zote. 2. Mwanadamu damu, mwanadamu sio mbuzi. Huwezi kumuongoza mwanadamu unavyotaka...
  20. W

    Wanawake wengi mnapozwa na kauli zenu

    Nilichokiona Ni kuwa wanawake wengi Wana kauli za kukera na Ni wepesi kusahau, Kuna kauli ukimtamkia mume wako Katu hatasahau na Ana kuvutia kasj tu akupige tukio!
Back
Top Bottom