Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,
Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣
kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,
HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅