Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

OLE WAKE MWNANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA KURA
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE KUTWA KWENYE KITUO AKISIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION
Ndo kanisani huko kanisa katoliki mnafundishwa huu ujinga?
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Kitendo Cha chadema kutoshiriki uchaguzi huu ni Dola kubwa kwa uchaguzi wa 2025, fikiria unakuwa na kundi ndani ya nchi linalokukataa Toka siku ya kwanza kabla hujaapishwa kuwa rais, je hiyo Iko sawa?
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Tunatiki
 
Kwani CCM si mnashiriki na vyama vyenu vya mitala au shida iko wapi?

Hamuoni raha sasa hakuna uchaguzi mnaenda kupata ushindi wa "kishindo" hata zaidi ya alioupata Magufuli 2020 wa 83% saa hizi Samia anaenda kupita bila kupingwa 100% na kuweka rekodi ya rais aliyeshinda uchaguzi kwa 100% huku uchaguzi ukiwa na ushindani mkali?

Kwani nyie hamko tayari kwa rekodi hiyo ya kipekee?
Badala ahangaike na ishu za maandalizi ya sherehe za ushindi wa kimbunga yeye hapa anawashwawashwa kuandika upupu tu hapa
 
Unashiriki uchaguzi upi? Huo ambao mgombea mmoja yeye kateua Tume nzima ya uchaguzi yake - hivi itakuwa akili hiyo ama mitope.

No Reforms ndiyo habari ya Tanganyika kwa sasa.
 
Badala ahangaike na ishu za maandalizi ya sherehe za ushindi wa kimbunga yeye hapa anawashwawashwa kuandika upupu tu hapa
Hapo sasa yaani Samia kabakia na goli wazi na hakuna goalkeeper halafu hataki kufunga akashangilie eti anaomba goalkeeper aje tena golini.

Kwanini asifunge kiulaini akashangilie na kuteleza kabisa hata kuvua jezi.
 
Kwani umeanza leo kutiki? Tiki zako zimebadisha nini katika maisha yako? Kupiga kura ni kupoteza muda wako kwa manufaa ya wengine tu. Mpiga kura yoyote ajijue yeye ni tools ya wanasiasa kufikia malengo yao tu.
Atatiki hadi kiama nyumbu huyu huku hana uhakika wa kesho yake. Mijamaa iliyochangia bilioni 86 hata haipigi kelele kila siku za tunatiki
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Wewe kwa kutiki kwako unapata ghorofa ngapi huko mbweni ama masaki? Ama ndio unatiki kusindikiza wengine tu utajirini
 
Hakuna mambo ya kuamini wala imani. Tunajua na kufahamu October 2025 hakuna uchaguzi.
 
Wenzangu ambao October tuna tick mbona kila ukipita flani tunalizungumza hili swala? Tukubali tu kwamba haya majamaa yameshatuweza, mpaka sasa tunaenda ku tick kwa aibu sana. Na tungekuwa hatujayazuia kufanya shughuli za kisisia basi hali yetu ingekuwa mbaya zaidi. Poa poa yetu ni kesi zao kuisha baada ya uchaguzi vinginevyo yatatuvuruga na tutapoteana
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅

..Ccm pamoja na mifumo yenu mizuri lakini mmeishia kuwapata Samia na Mchimbi wagombea maboya wasiokuwa na ushawishi na wasioweza kujenga hoja.
 
OLE WAKE MWNANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA KURA
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE KUTWA KWENYE KITUO AKISIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION
Wewe acha kutisha watu kila mtu afanye litakalomfaa
 
Wenzangu ambao October tuna tick mbona kila ukipita flani tunalizungumza hili swala? Tukubali tu kwamba haya majamaa yameshatuweza, mpaka sasa tunaenda ku tick kwa aibu sana. Na tungekuwa hatujayazuia kufanya shughuli za kisisia basi hali yetu ingekuwa mbaya zaidi. Poa poa yetu ni kesi zao kuisha baada ya uchaguzi vinginevyo yatatuvuruga na tutapoteana
Bora wewe umekuwa muwazi kama mpiga mayowe
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
1000005529.jpg
 
Back
Top Bottom