Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

Lissu na Heche walisha kiuza chama kitambo.
Wengi waliachwa kwenye mataa hadi leo hawajui kama Chama kilisha uzwa.
 
OLE WAKE MWNANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA KURA
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE KUTWA KWENYE KITUO AKISIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION
wewe mburula kweli kweli, we ukiwakuta utawafanya nini kama sio unatafuta jela na kipigo cha maana hadi ubakie kibogoyo, Pumbavu we!!
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Hivi sisiemu kwa kauli zao wanadhani watatawala milele? Basi hatuna viongozi
 
Kumbe umejikita kubeza viongoz wa CDM nikajua utaelezea ni jinsi watanzania tunaowaona mitandaon na nje ya mitandao jinsi wanavyosema hawaend kupiga kura!! Tueleze sasa jinsi watanzania walio weng ambao hawataki kupiga kura na je watapigaje kura while wamesema hawatopiga kura!!
 
Mimi kinachonifariji tu ni kuwa wananchi wengi waliielewa sana elimu ya ni reforms no election japo ilifanyika kwa muda mfupi,mimi nimeshuhudia watu wa chini kabisa na wasio na elimu tena nikiwa kwenye daladala wakisema wao hawaendi kupiga kura na nilishuhudia majina viatu yeye akisema hawezi kushiriki hiyo dhambi,kwa hiyo wewe na yule wa kifo ni kifo tu mkitiki hiyo Oktoba mnatosha sana lakini sisi wananchi wazalendo tunaotaka mabadiliko hatuwezi kuwa sehemu ya wakwamisha harakati za kupatikana misingi imara ya utawala wa haki na sheria katika taifa letu.
 
Kumbe umejikita kubeza viongoz wa CDM nikajua utaelezea ni jinsi watanzania tunaowaona mitandaon na nje ya mitandao jinsi wanavyosema hawaend kupiga kura!! Tueleze sasa jinsi watanzania walio weng ambao hawataki kupiga kura na je watapigaje kura while wamesema hawatopiga kura!!
Hana akili hiyo yeye uwezo wa akili yake ni uchawa tu si zaidi ya hapo.
 
wewe mburula kweli kweli, we ukiwakuta utawafanya nini kama sio unatafuta jela na kipigo cha maana hadi ubakie kibogoyo, Pumbavu we!!
Siku hiyo ndo utajua mimi ni MBURULA au la ...!Nchi ni yetu sote mbinu zina pikwa kisawasawa
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Wewe nenda wenyewe wamekataa.Kuulizauliza jambo hilohilo moja kila wakati ndiyo ukichaa wenyewe huo.
 
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,

Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema, wanaongea na kupanga mambo utafkri wanaongea na Kijiji🤣

kuna changamoto kubwa ya sifa za viongozi kwenye vyama vya Upinzani, nadhani tatzo viongozi wanapatikana kwa mihemko ndo maana na maamuzi wanafanya kwa mihemko hivohvo,

HAKUNA akuna platform yakupata viongozi Upinzani hawapimwi uwezo wao kiutendaji hii inapelekea kupata wakati mgumu sana kupata wagombea wa Urais, utaona hawawezi kuteua mgombea Urais mpaka wasubr mchujo wa CHAMA CHA MAPINDUZI ili wawachukue walichujwa.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI ✅
Ni hivi, cdm hawashiriki chaguzi za kipuuzi. Ni kipi hakieleweki hapo?
 
Wewe nenda wengine nao wanajua wanachokihitaji.
 
Kwa uoga walionao nyumbu wa chadema Mange kawapa tarehe ya kuandamana ila hamna nyumbu hata mmoja atatoa pua nje.

Majizi ya Ccm yenye laaana yatakula sana nchi maana yanapata upinzani kutoka kwa nyumbu
 
Back
Top Bottom