Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Je, kauli ya Nchimbi kuwa Rais hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini.
Tafakari,
Tafakari,
Utakuwaje dhaifu wakati jeshi lote unalo.Je, kauli ya Nchimbi kuwa raisi hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini.
Tafakari,
Kama mpaka leo ameshindwa kuwakamata wasiojulikana, we huoni kuwa huyo ni dhaifuRais anajeshi lote linamtumikia anakuwaje dhaifu?
Wanaomshangilia polepole wengi wao ni CCM, wala sio Chadema. Chadema haimuogopi Samia, Samia ndo anaiogopa Chadema. Muulize atakwambiaChadema wapumbavu aisee🤣🤣🤣🤣, eti na hapa wamepata point ya kuzusha.
Sikilizeni nyie confused brothers and sisters (in kagame's voice), maana ya nchinbi hapo ni rahisi tu; anakubaliana nae kukomaa na wajinga wanaompinga kupitishwa kwake kuwa mgombea pekee na anampa kongole zote katika kumpuuza huyu mjinga aliyegundua njia ya ulaji kupitia bundle za hawa malofa wa chadema wanaoshangilia wasichokijua.
Sasa ndg'angu wewe utakuwa ukiranja wa wapumbavu wa huko unyumbuni......yaani Samia amuogope chadema?!!!!!! Umeolewa weweWanaomshangilia polepole wengi wao ni CCM, wala sio Chadema. Chadema haimuogopi Samia, Samia ndo anaiogopa Chadema. Muulize atakwambia
Bonge la povu.Chadema wapumbavu aisee🤣🤣🤣🤣, eti na hapa wamepata point ya kuzusha.
Sikilizeni nyie confused brothers and sisters (in kagame's voice), maana ya nchinbi hapo ni rahisi tu; anakubaliana nae kukomaa na wajinga wanaompinga kupitishwa kwake kuwa mgombea pekee na anampa kongole zote katika kumpuuza huyu mjinga aliyegundua njia ya ulaji kupitia bundle za hawa malofa wa chadema wanaoshangilia wasichokijua.
Anaiogopa sana, akiskia jina la Lisu halali. We muulize tu taratibu atakwambia. Lucas mwashambwa anatafuta shoga mwenzie, unamfaa sanaSasa ndg'angu wewe utakuwa ukiranja wa wapumbavu wa huko unyumbuni......yaani Samia amuogope chadema?!!!!!! Umeolewa wewe
Kilichompata Magufuli utakuwa mwendelezo. Muda ndio mwamuziJe, kauli ya Nchimbi kuwa Rais hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini.
Tafakari,
Jeshi Ni La Wananchi Sio La Sir%Utakuwaje dhaifu wakati jeshi lote unalo.
Mbuyu umeshazungukwq na kuchimbwa wote....Je, kauli ya Nchimbi kuwa Rais hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini.
Tafakari,