Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC
"Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa wanataka kuturudisha zile enzi za mpira kushona.Kwenye enzi hizo nayekuja na mpira hamruhusiwi kumkaba,na mkitaka kumkaba tu anaondoka na mpira wake.Halafu huo mpira ikichezwa haiuishi hadi yule aliyekuja mpira timu yake ashinde mchezo-Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC"