ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Una timu ya kuifunga Yanga?Na Bodi ya Ligi.
Mkileta timu lazima tushinde
Msipoleta timu lazima tushinde
Sasa hapo chagueni nini kinawafaa😎
Una timu ya kuifunga Yanga?Na Bodi ya Ligi.
Mkileta timu lazima tushinde
Msipoleta timu lazima tushinde
Sasa hapo chagueni nini kinawafaa😎
Hatuchezi na timu zinazo kimbia kimbiaHakuna wa kumponza Karia Utopolo nyie
Mtacheza tu.
Hapo mnawekwa tu sawa kisaikolojia.
Umewasikia wapi Simba anawapa maneno mazuri Yanga ili wacheze?
Alianza Ally Kamwe kuleta huu utopolo wa kubembelezwa
Sasa kaja Mwigulu.
Mwisho utasikia Simba na Bodi wametubembeleza tumeamua kucheza.
Hakuna wa kuwabembeleza zaidi ya ratiba ya Dabi.
#Mtacheza Tu
#Mtacheza tuHatuchezi na timu zinazo kimbia kimbia
Lete timu June 15Una timu ya kuifunga Yanga?
Alooo.Acheni kucheza hakuna anaewalazimisha
Sisi tutacheza, na tutafunga magoli matatu🤣😂
Sasa demu umeolewa na TPBL na mumeo kakuwekea ratiba ya kukanyagwa unaanza kuweka mashariti, ooh mpaka unibembeleze ndio nikupe😋. Atakukanyaga tu hata kama utalala kama gogo. Shabashi😎😎😎😎
✍️✍️✍️✍️🙈🙈🙈😎😎Alooo.
Hahahaa! lol.✍️✍️✍️✍️🙈🙈🙈😎😎
Tarehe 8 tulimaliza hua hatuna muda wa kubembelezanaLete timu June 15
Mbona unakimbia Utopolo bheye.
Mkicheza tuna point 3
Mkik8mbia tuna point 3
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Mademu ndio hua wanaogopa mabaunsa#Mtacheza tu
Na hatuwambembelezi kama mademu mideko.
Mkicheza tuna point 3
Mkikimbia tuna point 3
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Nguvu moja
Hawa kenge watacheza tuu, eti dr, dr wa kupewa, hivi vyuo vyetu navyo ovyo tuu
"Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC
"Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa wanataka kuturudisha zile enzi za mpira kushona.Kwenye enzi hizo nayekuja na mpira hamruhusiwi kumkaba,na mkitaka kumkaba tu anaondoka na mpira wake.Halafu huo mpira ikichezwa haiuishi hadi yule aliyekuja mpira timu yake ashinde mchezo-Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC"
Marefa watapitia dirishani au?😀 haumjui mwenyeji?Shikilia hapo hapo Mwana Uto.
Bodi ya Ligi leteni marefa sisi tutakuwepo
We ulikuwa unajua itachezwa? Jamaa wameshikilia msimamo.Basi sasa nimeamini hii ngoma haichezwi, na hakuna kitu TFF Itafanya, ole wake
Makalio Yao hao wanazuga Tu! Kwisajua janja Yao! Janja ya nyani Kula indi bichi! Kama kweli wanadi***sha wasitokee tuone! Janja ya mwaka 47 sabaaaaaa.......!!!Shikilia hapo hapo Mwana Uto.
Bodi ya Ligi leteni marefa sisi tutakuwepo