kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tamsana

    Vyama tisa vya siasa vyaingilia kati kauli ya ACT-Wazalendo

    Vvya tisa vya siasa Zanzibar, vimesema kauli ya Chama cha ACT-Wazalendo ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina, haina nia njema kwa Zanzibar. Hivi karibuni, ACT Wazalendo kilisema hakikubaliani na uteuzi wa Faina kwa madai yeye ndiye alikuwa...
  2. TODAYS

    Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  3. vibertz

    Tujikumbushe kauli mbali mbali zilizoletwa humu wakati Yanga akipangiwa Club African

    Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar es salaam. Weka hapa kauli unazokumbuka. Mimi nakumbuka, Walisema safari ya Yanga kimataifa imeishia...
  4. CM 1774858

    Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

    Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
  5. JanguKamaJangu

    Ufaransa: Mbunge aliyetoa kauli ya ubaguzi bungeni aadhibiwa

    Wabunge wengi wa Ufaransa wametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya mbunge wa National Rally, Gregoire de Fournas aliyepiga kelele akisema “rudi zako Afrika” wakati mbunge Mweusi akiuliza swali kuhusu uhamiaji. Bunge la Taifa la Ufaransa lilipiga kura kumuadhibu de Fournas kwa kumzuia kuhudhuria...
  6. GENTAMYCINE

    Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  7. GENTAMYCINE

    Ule uhamasishaji wa Nguvu na Kauli Mbiu tulipocheza na Al Hilal mbona siuoni tukicheza na Club Africaine leo?

    Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia? Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
  8. OLS

    Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  9. Shujaa Mwendazake

    Ujerumani yatoa kauli ya mwisho kwa Serbia

    Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters Belgrade itakabiliwa na "matokeo" ikiwa itashirikiana na Moscow, mwakilishi wa Ujerumani aliambia shirika la habari Serbia lazima iamue kuungana na Urusi au EU, afisa wa Ujerumani aliambia Reuters Jumanne. Wakati Berlin imeionya...
  10. Allen Kilewella

    Kauli ya Rais ambayo ni sheria ni ipi?

    Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
  11. Adolph Jr

    Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

    Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha? Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
  12. N

    Fao la kujitoa na kauli za Serikali kuhusu kujiari - je, vinaendana?

    Watanzania wenzangu na viongozi wa Nchi hii, hebu tufanye tafakari ya kina juu ya sheria ya mifuko ya jamii na kauli za viongozi Wetu juu ya ajira nchini. Nitoe nadharia ili kila mmoja Wetu asome atumie kama base ya tafakuri. ''Mwezi uliopita kuna taasisi moja hapa nchini ilipunguza...
  13. matunduizi

    Nimependa Vladmir Putin alivyooiita nchi yake "Fatherland". Nashauri na Tanzania tuachane na kauli za "Mama Tanzania"

    Kulifananisha taifa na mama ni mbinu za kisaikolijia kulivunja morali. Sijui chanzo cha sisi Watanzania kujiita MAMA TANZANIA au MOTHER LAND BADALA YA FATHER LAND Tumuige Putin kuiita nchi yetu BABA TANZANIA. AU TUTUMIE NENO FATHERLAND BADALA YA MOTHERLAND. SABABU ZANGU 1: Mama ni...
  14. GENTAMYCINE

    Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
  15. B

    Law School na kauli za mfa maji haishi kutapa tapa

    Sakata la wanafunzi LST kufeli limeendelea kujipambanua. Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe Inafahamika kuwa walimu LST nao ni products za vyuo hivi hivi hapa nchini. Kama vyuo vinatoa wanafunzi wasioiva hawa walimu wao walijiivisha namna gani? Kufeli uwakili kilio Afrika...
  16. M

    Kauli ya Manara kwamba wanaoshiriki Kombe la Shirikisho CAF ni "Losers" itaendelea au ataifuta kesho?

    Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la "Losers" na kwamba mabingwa wote wapo CAF Champions League. Ikumbukwe wakati anatoa kauli hiyo...
  17. S

    Yanga wakipundua meza, watakuja na kauli "Bila sisi kuwasema, msingevuka"!

    Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia...
  18. GENTAMYCINE

    Ukikutana na Shabiki wa Mpira mwenye Kauli zifuatazo jua Hospitali ya Mirembe kunamuhusu

    1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao? GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
  19. Akilihuru

    Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
  20. M

    Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
Back
Top Bottom