Jamaa atatumbuliwa hilo liko wazi kama uchi wa mbuzi lakini atakua katolewa kafara ili wakubwa wake wapate sifa. Siasa achana nayo yote yaliyotokea walishauriana na kuafikiana ila mzigo wa lawama anatupiwa yeye alafu wakubwa wanashangiliwa.
Tengeneza tatizo kisha tatua tatizo. Walimuweka...
Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao.
Others can see directly their deceptions and read their minds.
Iko wazi makusanyo ya mapato ya adhabu ya makosa ya barabarani kulikuwa kuna watu flani...
Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa...
Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie...
Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8.
Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
Zanzibar. Pengine hakuna watu waliolipokea kwa mikono miwili agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Jeshi la Polisi kuhusu haja ya kuiongezea Zanzibar ulinzi kama wazazi na ndugu na jamaa ambao mpaka wakati wa kuandika makala haya wanashindwa kupata usingizi kwa kutokujua hatma ya wapendwa wao...
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi.
Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
Afande Mtafungwa kwa Rais Samia kulalamikia idadi ya ajali kuongezeka nchini nakushauri omba hata likizo ya ugonjwa ili uepuke fedheha ya kutenguliwa.
Vinginevyo, wiki hili halitaisha lazima wakutengue kichwa hapo kikosi cha barabarani.
Usiseme hatujakushtua!
Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo.
Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya...
Utangulizi na kauli kuhusu tatizo
Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
Wanabodi,
Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa!
leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa
hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day
Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake wakaendesha misa ya mzaha kuibeza Yanga kufungwa na Vipers mwaka huu.
Alipotoka ndani ya jeneza akaimba...
Wandugu,
Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa.
Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja.
Location Moshi Njia Panda.
Kwa wahitaji piga 0685940663
Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.