Wakuu najua jf hii ina watu wengi sana ebu tupeane michongo tutoane tongotongo.hivi ni ujuzi Gani ukijifunzia unaweza kufanya kazi kama remote hata kama ukiwa Tanzania job unafanya na unapata kipato Kwa njia ya mtandaoni?
Najua platform ni nyingi sana je ni Zipi? Wakuu ambao mko mambele au...
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT.
Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
biashara mtandaoni
chatgpt
kamili
kazimtandaoni
kuhusu
kujifunza
kupata pesa online
maisha
maisha na kazimtandaoni
mwongozo
teknolojia
teknolojia ya ai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.