Ni ujuzi Gani ukijifunza unaweza kupata kazi mtandaoni nakukupatia kipato?

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
600
Reaction score
945
Wakuu najua jf hii ina watu wengi sana ebu tupeane michongo tutoane tongotongo.hivi ni ujuzi Gani ukijifunzia unaweza kufanya kazi kama remote hata kama ukiwa Tanzania job unafanya na unapata kipato Kwa njia ya mtandaoni?

Najua platform ni nyingi sana je ni Zipi? Wakuu ambao mko mambele au mnajua hizi mambo ebu tusanueni madogo zenu, hata nikiingiza dora 5 Kwa siku siyo mbaya kuliko kukaa tu.
 
Ku-bet
 
Jifunze programming na hasa python. Hii ni programming language inayokua Kwa Kasi zaidi, jifunze basic Kisha specify maana python ni kubwa. Unaweza kuspecify kwenye AI, machine learning, data science, Computer vision, Robotics. Python inakufungulia milango ya career nyingi zinazolipa.

Au jifunze cyber security, kutokana na Ongezeko la matumizi ya AI , cyber security nayo inakua Kwa Kasi. Jifunze basic Kisha chagua specification. Pia unaweza kujifunza cloud technology aidha ya Amazon, azure hasa cloud Engineer career. Hii sio programming kivile ni kujifunza kutumia mofumo husika. Kwa sasa kila kitu ni cloud & server.
 
Wakuu najua jf hii ina watu wengi sana ebu tupeane michongo tutoane tongotongo.hivi ni ujuzi Gani ukijifunzia unaweza kufanya kazi kama remote hata kama ukiwa Tanzania job unafanya na unapata kipato Kwa njia ya mtandaoni?

Najua platform ni nyingi sana je ni Zipi? Wakuu ambao mko mambele au mnajua hizi mambo ebu tusanueni madogo zenu, hata nikiingiza dora 5 Kwa siku siyo mbaya kuliko kukaa tu.
Ai data collection and training. Imenipa ajira ya kudumu mtandaoni
 
Mkuu kivipi eb maelezo kidogo usituache njia panda
Kama unafanya biashara au ishu yoyote kupitia Instagram, ukijua alogarithm inavyofanya kazi na kupata reach kubwa unafika mbali na unapiga ela, mana unapata watu, mda wa kupost,namna ya kuandika caption, carousal,CTA,531 MAMBO ni mengi ingia Google utaona.
 
😂 Simply ni chochote ambacho binadamu wengine wanahitaji. Unaweza kujifunza kufanya application za mambo mbalimbali ukaletewa kazi vizuri tu.

Au ukawa editor mzuri WA video ukadesign ads. Same to graphics ukajifunza kudesign cartoon kwaajili ya matangazo na watoto.

Kuna fursa nyingi sana just sport what people can pay or use.
 
Dev Ops
Coding au Programmer
Graphic Design
Website Designe and Developer
Writings and Translation
Digital Marketing

Na hata Teaching Swahili online

Right. But DevOps sio simple it take years same to programming it might take few years uwe vizuri. You need to use time as your fees to archive what you want.
 
😂 Simply ni chochote ambacho binadamu wengine wanahitaji. Unaweza kujifunza kufanya application za mambo mbalimbali ukaletewa kazi vizuri tu.

Au ukawa editor mzuri WA video ukadesign ads. Same to graphics ukajifunza kudesign cartoon kwaajili ya matangazo na watoto.

Kuna fursa nyingi sana just sport what people can pay or use.
Vere naiss!🤗
 
Back
Top Bottom