Ni ujuzi Gani ukijifunza unaweza kupata kazi mtandaoni nakukupatia kipato?

Ni ujuzi Gani ukijifunza unaweza kupata kazi mtandaoni nakukupatia kipato?

Kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu.
Ni kazi unayoifanya once after four or five, get a fortune and then live your life happily.
Wakuu najua jf hii ina watu wengi sana ebu tupeane michongo tutoane tongotongo.hivi ni ujuzi Gani ukijifunzia unaweza kufanya kazi kama remote hata kama ukiwa Tanzania job unafanya na unapata kipato Kwa njia ya mtandaoni?

Najua platform ni nyingi sana je ni Zipi? Wakuu ambao mko mambele au mnajua hizi mambo ebu tusanueni madogo zenu, hata nikiingiza dora 5 Kwa siku siyo mbaya kuliko kukaa tu.
M
 
Una elimu gani?
Una full internet connection?
Una uelewa mzuri na English language?
Una angalau uelewa mzuri wa matumizi ya kompyuta?

Kitu rahisi unachoweza kufanya ni kupitia Preply kufundisha Kiswahili. Mengineyo ni magumu na hela yake utaipata baadae kama una shida za haraka miezi ya karibuni utaishia njiani vijana wanasema utaacha ndala.

Ila online inataka uwe na akili na flexible. Sio ukariri.
 
WEB3.
WEB3
WEB3
Blockchain tech+Cryptocurrency
Blockchain tech+Cryptocurrency
Blockchain tech+Cryptocurrency
Hii ndio ELIMU pekee ambayo kamwe haitokuwa replaced na AI maana inahusu willingness ya mtu kuanzia Fikra huru, uamuzi, utashi, hisia za maamuzi ambazo kwa machine/softwares haiwezekani zikafikia level hii.

Kitendo cha kununua asset ambayo kiuhalisia unapaswa kuisubiri ipande thamani na ukaihold kwa manufaa ya mbeleni then ukabadili maamuzi hayo ndani ya dakika 3-30 tangu uinunue na kuuza then ukainunua tena, bila sababu za msingi au sababu ya hofu ya kupoteza ijapokuwa signals sahihi na tech indicators zimeprove right kuwa asset hiyo inakwenda kufanya vizuri lkn wewe kwa utashi na tamaa zako ukaamua kusell gafla,

kitendo hiki hakiwezi kuwa replaced na machine/artificial intelligence iliyokuwa trained kwa kupredict only programmed things ambazo pia ni predictable kama hali ya hewa, masuala ya kiafya, n.k.

CRYPTOCURRENCY ndio future ya maisha, waTanzania tuwekeze muda na akili zetu huko, tuachane na elimu zingine ambao soon zinakwenda kukosa thamani haijalishi zina ugumu kiasi gani au kuna mahodari wa masuala hayo wangapi.

Ni jambo la muda sasa mambo ya AI yanakwenda kuta over editing zote za graphics, programming, developing, coding, testing, bila kusahau kazi zote zinazohitaji akili/nguvu ya kibinadamu zinakwenda kuchukuliwa na hamtokuwa na lakufanya.

Wakati ni sasa ambao waTanzania tunatakiwa kuamka, tuachane na hii elimu ya ujima ya mkoloni ambayo haina manufaa kwa jamii imeshapitwa na wakati, tusiendelee kuwa mzigo wa serikali bali tuamke mapema.
 
Narudia tena, jifunze elimu ya WEB3& Blockchain huko kuna fursa nyingi sana ikiwepo Cryptocurrency ambayo nayo ndani yake kuna fursa nyingi ikiwepo trading assets like NFT's, Coins/memes (in spot, future, arbitrage), mining& airdrops, staking, n.k

Ndani ya web3 kuna fursa nyingi sana ambazo wabongo wengi hawazijui wakati zina pesa nyingi.

Ni wakati sasa tuachane na hizi physical jobs zinazotunyonya nguvu, akili na muda huku zikitulipa malipo kidogo na tuhamie kwenye kazi zinazoendana na mahitaji ya dunia, hata hawa wanaodeal na hizo kazi za AI training ni suala la muda tu hizo kazi zenu zitakuwa wiped out maana zina michakato ambayo ikikamilika hazitakuwa na maana tena nadhani wajuzi wa hizi mambo wananielewa.

Huruma yangu ni ninyi wazee wa graphics designing moto utawawakia maana tushaanza kuona mabadiriko ya AI yanavyochukua kazi zenu, labda madalali tuwape muda.

Chukua muda jifunze skills mpya ambazo ni ngumu kuchukuliwa na uwezo bandia ambao hivi sasa umeshaanza kuchukua baadhi ya kazi za watu
 
Matapeli washaingia
Uzuri kwa karne hii kutapeliwa utake mwenyewe, msemo wa utapeli huja baada ya mtu kushindwa kutumia common sense, mtu anaambiwa fanya jambo fulani ambalo anauwezo kwa kwenda Google akaligoogle afananishe maelezo na hayo aliyoambiwa then apate hitimisho badala ya kulaumu na kufanya maamuzi yasiyo sahihi.

Tuache fikra za kizamani, GOOGLE IS FREE, ALL AI CHAT BOTS ARE FREE, mtu akiona andiko humu anapaswa kulifanyia uchunguzi
 
Kama kuna Mdada wa miaka kuanzia 25 - 35 anaijua social media vizuri and a bit of playing with graphics/ edit of small video - anayoweza jifunza na yupo Arusha, anakaribishwa DM
 
Vere naiss!🤗

Ni wewe tu sometimes unafanya vitu havina hela for a long time. Nipo kwenye process za kutengeneza programming language kwaajili ya watoto kujifunza, kuna watoto niliwakuta juzi home nimewakusanya hapa walikuwa hawajui kutumia computer atleast ni some few weeks sasa hivi wanajua basic parts za computer, wanaweza kuandika vizuri via libreoffice writer, kufungua internet na kutafuta kitu, kufanya navigation kutok sehem moja hadi nyingine.

Ni watoto wadogo sana lakini I have a plan wafahamu computer mapema sana. At least next 3 years waweze kufanya jambo na ujuzi walionao.
 
Umewakusanya kutoka wapi? Na ni kwa ridhaa ya nani?
 
Back
Top Bottom