Ni ujuzi Gani ukijifunza unaweza kupata kazi mtandaoni nakukupatia kipato?

Ni ujuzi Gani ukijifunza unaweza kupata kazi mtandaoni nakukupatia kipato?

Mkuu AI inakuwa trained na data za aina mbalimbali kutokana na hiyo model inalenga kufanya nini. Mfano: kuna data ambazo zinakuwa annotated... Ndiyo maana kuna kazi mtandaoni za data annotation. Yani ili AI iweze kutambua vitu kwenye picha, zinachukulia picha na kuzizungushia labda squares na kuiambia huyu ni paka, huu ni mti, huyu binadamu. Yani inafanyika kwa millions of pictures. Kuna data labda za kuifunza kutranscribe, kuzungumza n.k hizo zinakuwa za sauti na maandishi. So, kwa client wangu huyu, data tunazotumia ni Za sauti na maandishi. Tunaziscrap kutoka vyanzo mbalimbali zinakuwa in pairs. Lugha moja kingereza lugha ya pili ya kibantu. Zinakuwa arranges in sets kwenye spread sheet yani sentence moja moja kwenye kila row. Za sauti hizo approach ilikuwa ni kurekodi sentence milion moja na nusu.
Kwa sasa tayari runa models na APIs na nadhani client kama watatu. Kinachoendelea ni kuziboresha tu.
Wapo utapata kazi? Kazi hasa za annotation na data collection ni nyingi mtandaoni. Sema mara nyingi hazina pesa nyingi maana makampuni ya kihindi yamezichukua ni walanguzi. Hizi kazi naona one forma ndio wanazo zaidi na lionbridge. Ikiwa utapata kaa lionbridge utapata ela nyingi mnoo
Thanks mkuu kwa this. Nimekupata vizuri, sema naona hii inahitaji kichwa chenye utulivu mpaka kumasta hii skill na mimi currently nipo kwenye kujitafuta mambo ni mengi. Ngoja nijaribu kwenye Kiswahili nimepiga course ya teaching Kiswahili to foreigners nataka nione namna gani naigeuza kuwa pesa. Nifundishe, nitengeneze self learning courses au nitengeneze app ya kuweka content. Bado najitafuta.
 
Hiyo ya Kiswa inalipa tu wateja wenginonline. Hebu search jamaa anajiita swahili magnetic linkedin uone anavyofanya
 
Mkuu hiki kitita chote utafanyia nini, au ndo masuala ya generational wealth!
Yani nilikuwaga nalipwa huko pesa nilipozitoa nikabakishaga kadola 10, nimekaa hapa nikakumbuka juzi wameongelea humu ndio nikasema yanini nakatoa hapa pabaki empty tu!
 
Back
Top Bottom