Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote.
Nawasilisha.
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho.
Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata nafasi ya kuajiriwa wanaacha hizo kazi walizojiajiri
Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu...
Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth...
NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU
Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yanguโmke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu.
Nina uwezo wa kufanya kazi...
๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐น๐ถ ๐ ๐ฏ๐ถ๐ ๐๐ฎ ๐๐๐ ๐๐ฎ ๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ด๐๐๐ถ ๐ ๐ธ๐๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ: "๐๐ฎ๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐จ๐๐, ๐ง๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ป๐ด๐ฎ ๐ ๐ฏ๐ฒ๐น๐ฒ"
๐ก๐ฎ. ๐๐๐บ๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐ถ๐ฑ, ๐ง๐๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ - ๐จ๐ป๐ด๐๐ท๐ฎ
Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inabeba dhana kuu tatu: Kazi, Utu, na Maendeleo (Tunasonga Mbele). Hizi ni misingi muhimu inayolenga...
Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
Bongo watu wanapenda kuamini vitu vya ajabu Sana, huenda ni meneja au mfanyakazi aliyekua na shift night alimwingiza kwa lengo la kupunguza upwiru. lakutokea likatokea akaona kuliko kibarua kiote majani amwangushie huyo mtoto wa watu jumba bovu.
Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali.
Kutokana na idadi kubwa ya...
Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki.
===================================
Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya Chama hiki katika miaka 3 hii huwezi kuongelea UTU watu wakakuelewa. Hakuna mahali Chama hiki...
Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri.
Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili...
Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing
Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya
Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...