kelele

  1. M

    NIffer anachangisha pesa za kuagiza mizigo china, Niffer anachangisha pesa za kuwapa mitaji vijana, leo kachangisha za kuwapa wahanga kelele nyingi

    Habari wadau. Binafsi nimeshangaa sana leo hii watu walovyomjia juuu Niffer kuchangisha pesa. Miaka yote niffer anachangisha pesa na hakuna kesi ya kuvunja sheria yoyote kwake. Niffer toka nimeanza kumsikia ni anafanya biashara inayohusisha kuchangisha watu pesa. Biashara yake kuu...
  2. Yoda

    Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

    Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Wanasiasa mmejipangaje kupunguza tatizo kelele (Noise Pollution) kwenye kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi?

    Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya watanzania wana matatizo ya moyo yaani kitaalamu CVD. Hii ikanipa kihali hasa katika kipindi hiki...
  4. THE FIRST BORN

    Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  5. Pdidy

    Kila ikifika saa nane naota wezi ba napiga kelele msaada pls wiki sasa nasali sana usikupia

    Naitwa sherry Na umri wa miaka 35 Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku..... Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na...
  6. U

    Shida si goli chache, wapiga kelele c washabiki ni wazee wa wakubeti

    Tatizo c kwamba yanga imeshuka kiwango, tatizo ninkuwa nchi yetu imeharibika na Sasa umeingia kwenye uchumi wa Kamali , ambapo vijana wengi sana wenye ajira na wasio na ajira wameingia kwenye biashara hiyo ya kamali na kubeti. Nchi inakusanya mapato mengi sana kupitia kubeti, hivyo inapelekea...
  7. P

    Mdau aliyeripoti kelele Mtaa wa Alesika shukrani zikufikie huko ulipo, sasa imebaki Kanisa la Angles Ministry kutumia Sound Proof

    Wakuu kwema? Kuna mdau alileta kuhusu suala la Mtaa wa Alesika, Mbezi Beach kwenye baa na Kanisa la Angels Ministry kuwa kero kutokana na kulele kubwa kutoka kwao na walikuwa kikesha usiku kucha. Upande wa Pub ya Amigos tunashukuru suala hili wamejirekibisha, shida imebaki kwenye kanisa la...
  8. T

    Nina mpango wa kumuoa lakini amezidi kelele

    Niko kwenye mahusiano na huyu Binti ana miaka 28, huu ni mwaka 3. Nampenda sana na tulishapanga mipango mingi, shida nikuwa hivi karibuni kabadilika sana na sioni kama nawezana naye. Kwanza amekua mtu wa kisirani, kakitu kadogo ataongea mpaka inaboa, ukichelewa kupokea simu hata kama ulikua na...
  9. G

    Kuna kelele nyingi za haki sawa kwenye kugawana majukumu ya Mwanamke, kwanini majukumu ya Mwanaume yapo vile vile hayapewi usawa ?

    Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika. Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao Kufua nguo - Kuna...
  10. Pdidy

    Usipige kelele ndoa ngumu fanya fammy mapping utabeba mizigo isiobebeka aka misukule ya ukoo..

    NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA HAKUNA WA...
  11. BLACK MOVEMENT

    Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  12. T

    Naomba kueleweshwa hivi mbona ACT na vyama vingine vya upinzani hatusikii kelele za Rushwa, viko safi.

    Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
  13. T

    Naona kuna kelele na nguvu nyingi sana huku mitandaoni kuhusu uchaguzi wa TLS hebu mnielimishe ina uzito gani hasa!?

    Kumradhi wanabodi kuuliza si ujinga naona tu nguvu nyingi sana zina tumika kuhakikisha TLS Inapata kiongozi fulani. Pengine tofauti na jumuiya zingine nyingi ambazo wahusika huchaguana tu na sa nyingine huchaguana kimyakimya lakini kwa TLS hali ni tofauti sana Natamani sana kujua nini nguvu ya...
  14. GENTAMYCINE

    Hivi Kombe la Timu Nne na la Wiki Moja tu linaweza kufanya Mashabiki Wehu wafurike 'AINJ' Usiku kwenda kupiga Kelele na kuipokea Timu huku Wakiiba?

    Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths ) ANGALIZO Nimesema...
  15. Roving Journalist

    NEMC: Tunachunguza madai ya Baa ya Ellis kuwa imekuwa kero kwa majirani kutokana na kelele za muziki

    Baada ya Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika baa maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, kuwa inapiga kupiga mziki mkubwa hadi asubuhi hali ambayo ni kero kubwa kwetu, Mamlaka husika imezungumzia suala hilo: Kusoma hoja...
  16. kipara kipya

    Baada ya kelele nyingi za rushwa nda ya CHADEMA Lissu afungwa mdomo na Mbowe!

    Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu, Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Watumishi wa umma tuache kelele, Serikali inatupenda sana

    Morning! Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma. Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari...
  18. Mr Why

    Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  19. A

    KERO Iringa mjini baadhi ya Adhana za misikiti zimezidi kelele, sauti iwe ya chini isiwe kero

    Matumizi ya Speaker ina mipaka yake. Ukizidisha sauti inakuwa sio adhana bali ni kero kwa wananchi, ambapo sio wote ni waislamu. Dini yetu inasisitiza sana kuchunga haki za majirani na kwenye hili misikiti hawajapewa msamaha. Ifike mahali waendesha hizo misikiti wawe na aibu maana hakuna haja...
  20. K

    Mwigulu unampigia nani kelele bungeni?

    Mwigulu amekuwa alitoa hoja kwa hisia kali sana na kupiga kelele kama vile anaongea na wezi. Wabunge karibu wote ni fake wa chama chako sasa lawama za nini na kwa nani hasa. Makelele makalele ni kwa nani? Hivi hakuna watu wengine wangeweza kufanya vizuri kuliko jamaa huyu ambaye ameshaanza...
Back
Top Bottom