Habari wanaJamiiForums,
Siasa nzuri pale mmoja wao akiwahi kusoma akama za nyakati halisi. Na hili nimesisitiza sana huko nyuma Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kama atasoma nyakati vyema apumzike kugombea uraisi
Else atakutana na aibu kubwa kilichofanyika ni sawa na kusema CHADEMA...
Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele (Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa)
Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo
Amesema kuwa Tanzania ni nchi huru kila mtu ana haki ya kuabudu, muda wowote na wakati wowote
Amesema kuwa waumini wa...
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE
Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe,
=======
Joint Statement by the European Union...
Abidjan ni mji mkuu wa nchi ya Ivory Coast na pia mji kubwa zaidi nchini humo. Abidjan is also known as the Paris of Africa ,
Abidjanis the biggest and most important city of Cote d'Ivoire. With a population of around 4,000,000 people, it is the second largest city in West Africa after Lagos and...
1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasema tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30
2: Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie...
Hili suala la COVID 19 kabla halijaanza kusambaa huko kwa majirani sisi huku tulipiga kelele sana. Tulipiga kelele tukabezwa, tukadharauliwa, tukatukanwa. Kumbe waliokuwa wakitutukana walikuwa hawajui chochote kuhusu huu ugonjwa. Aibu!
Kikundi cha sisi wa kwenye mtandao tumeonyesha mapenzi mema...
Are the Pharmaceutical industries running the show?
Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?.
Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba...
Kila jambo huja na maajabu yake! Katika hali ya kushangaza, mwanaume mmoja anashikiliwa na polisi nchini Urusi kwa kosa la kuwafyatulia risasi na kuwaua watu watano kwa madai kuwa waligoma kupunguza sauti zao wakiwa karibu na nyumba yake, huku kukiwa na marufuku ya kutembea nchini humo.
Tukio...
Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu.
Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah!
Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku?
Muziki...
Hata kama corona ikiisha halafu mtu akatangaza kuwa sasa daladala zinaruhusiwa kujaza watu kama magunia kama ilivyokuwa mwanzo nitamshangaa sana. Kila mtu kukaa kwenye seat yake ni tija kwa afya ya msafiri, kiakili, kimwili na kisaikolojia. Kwa mara ya kwanza leo nimepanda daladala na kwenda...
Muogope baba asiesafiri asietoka kujichanganya na wenzake anajifungia tu ndani na kukaa jikoni na mama kuota Moto baba huyo lazima awe mkali na katili kwa watoto
Baba unatakiwa usikae sana home familia inakukinahi inakuchoka haiwi na hamu na wewe Sasa wewe utadhani haikupendi kumbe ni...
Kuna bar ipo makazi ya watu hapa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Paulo inapiga muziki mkubwa sana watoto hawalali, wagonjwa wanateseka.
Bar ipo makazi ya watu inapiga muziki mkubwa sanaa na hakuna sound proof, juu ya yote sidhani kama wana leseni ya night club maana wangefuata mashariti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.