kelele

  1. U

    Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
  2. Shujaa Mwendazake

    IGP Sirro unafahamu kuwa vijana wako wanachukua posho kuachia Bar za usiku kupiga kelele?

    Nimeileta hii kwa makusudi baada ya kutazama hiyo video hapo chini ya kina Mama wakijitetea kwa maafisa wa polisi juu ya kuondolewa kwao kwenye ukumbi wa starehe kwenye hafla yao. Waliagizwa kuwa wazime muziki kwa sababu tunazozifahamu, lakini hoja kuu hapa ni kuhusu hawahawa maaskari kwa sisi...
  3. M

    Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  4. Analogia Malenga

    Jafo awaonya wanaosababisha kero za kelele na mitetemo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha sauti zitokanazo na shughuli zao hazizidi viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa sheria. Waziri Jafo amesema hayo hii leo Jijini Dodoma wakati wa...
  5. Idugunde

    CHADEMA acheni kelele zisizo na kichwa wala miguu. Mikutano ya siasa huzuia maendelzo, kuweni wapole

    Acheni kujichetua akili na kujifanya hamjui kitu. Mmesahau operation Sangara ilivyokuwa inasababisha watu wasifanye shughuli za maendeleo? Mmesahau yule kijana mmachinga wa Morogoro alivyouwawa sababu ya mikutano yenu? Kubalini ukweli tu mikutano ya siasa inasbabisha kuingilia rabiba za watu...
  6. jingalao

    Katika siku 100 za Rais Samia wapinzani mmetendewa haki sasa tusisikie kelele

    Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
  7. Opportunity Cost

    Mliokuwa mnapiga kelele Azam Kupata kandarasi ya Miaka 10, Vodacom wamejitoa, fadhilini Ligi japo mwaka Mmoja

    Wale mliokuwa mnapopoma kwa domo kaya kuhusu mkataba wa Azam na TFF kwamba ni muda mrefu na pesa kiduchu tunaomba sasa mtumie fursa ya kufadhili Ligi kuu Bara japo kwa mwaka mmja ili tuone matunda ya midomo yenu. Hii nchi ina majitu yana midomo sana lakini vitendo ni zero, fanyeni ku justify...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
  9. Erythrocyte

    Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

    Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai. Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
  10. Strictly Syrup

    Tatizo la sikio la kushoto: Kusikia Kelele Kama Upepo Unapita

    Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes natumia hata robo tatu ya siku kusikiliza muziki na kutengeneza. Lakini kuna tatizo limenikumba kama...
  11. Nigrastratatract nerve

    Jinsi Rais Samia alivyowapiga chenga ya mwili wapiga kelele wa mitandaoni kwenye teuzi

    JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI.... Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!! Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama...
  12. May Day

    Kelele za fanya hiki acha kile, hapo umekosea hapo umepatia zimekuwa nyingi mitandaoni, au kwa sababu ni Mama?

    Siku hizi kila ukiingia mtandaoni utakutana na uzi wa kupinga, kupongeza, kuelekeza au kufananisha na Mtangulizi wake. Hivi haya yote ni kwa kuwa hatujawa na historia ya kuongozwa na Mama au tu ni tabia asilia ya Viumbe kulialia mbele ya Mama zao maana hata kwenye familia Watoto wanahisi uhuru...
  13. M

    Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

    Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana. Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana. Hata hivyo nina...
  14. R

    Mzee Mwinyi kanunuliwa Benz tunapiga kelele kila kona lakini yanayofumbiwa macho bado ni mengi zaidi

    Habari wadau Tanzania ni nchi tajiri sn na usije ukajidanganya kuwa setikal haina hela serikal hela inazo sema ziko chemba kwa matumiz ya watu fulani fulan na maelekezo kutoka juu. Mwinyi kapewa zawad ya Benz TZ million 400 mnapiga kelele kila kona kisa pesa za kodi naomba niwaulize maswali...
  15. masopakyindi

    Wabunge wa Mbeya hatujasikia kelele zenu juu ya barabara zetu mbovu Bungeni

    Wabunge wetu mlioko Bungeni, Dodoma mnaotoka Mbeya. Mtajionyesha umahiri wenu toka siku ya kwanza kabisa bungeni, lakini umahiri huo hatuuoni. Kero kubwa za Mbeya, kwanza ni barabara. Main road ya Tanzania kwenda Zambia ni mbaya sana, ukiingia Mbeya mjini malori ya mixigo mizito inapishana na...
  16. S

    Ripoti ya CAG ya 2019/2020 imepita na madudu yake na tumeshasahau, tunasubiri ya 2020/2021 tupige tena kelele kama mazuzu

    Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua. Tusubiri na ripoti sijui ya kuchunguza madudu huko BOT tupige kelele kama tumewehuka then tujikalie kimya kama mandondocha...
  17. Idugunde

    Chadema mlishapigwa bao la mkono waacheni akina Halima wale bata, kelele zenu ni kupoteza muda

    Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge. Mbowe na Mnyika walichukulia poa na kuliona hilo tukio kama la kawaida. Na kwa sababu walishazoea...
  18. Stroke

    Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

    Wakuu, Naona mbwa wako very uneasy wanabweka sana. Kwa hulka yao ya kuhisi hatari ikiwa mbali, nadhani Jobo itapita , ni swala la kumuomba Mungu haya yasitokee.
  19. Nyani Ngabu

    Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

    Ni Mrundi...kaonekana anacheza ngoma ya Kirundi...sijui jina lake anaitwa Ntiba-somebody... Hizo ndo kelele walizopiga baadhi ya watu kwenye mitandao wakiongozwa na mtu yule.. Sasa ghafla naona zimeisha. Watu wameacha kuhoji uraia wa makamu wa Rais, ambaye alizaliwa Kigoma. Akasoma shule...
  20. M

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
Back
Top Bottom