kelele

  1. SIMULIZI RIWAYA

    Simulizi ya ujasusi: Do not shout (Usipige kelele)

    DON'T SHOUT (usipige kelele) Sehemu ya...............01 Mtunzi: Saul David Tel : +255756862047 E-mail: saulstewarty@gmail.com **** EPISODE 01... "Moto, moto, jamani motooooo" "Moto, kuna mtu ndani, motooooo" Sauti hizi za makelele zilipasua anga zikitokea katika chuo kimoja kikubwa...
  2. Idugunde

    Harakati na kelele za mitandaoni haziwasaidii CHADEMA, zinawaingiza mkenge kila siku ila hawajifunzi

    Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua. Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama watoto wadogo. Uhalisia wa mnachodhania kuwa mnasapoti kubwa kutoka kwa wananchi kupitia mitandao ni...
  3. M

    Kwa nini Simba ikifungwa kelele huwa kidogo mitaani hapa nchini?

    Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec. Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo? Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi vichochoroni?
  4. KENZY

    Ulisema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!" Una habari Kuna mbuzi wana kamba moja tu!

    Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..? Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..? Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
  5. tutafikatu

    Tanzania Tujifunze: Russia inafadhili vikundi vya mazingira, vinavyopiga kelele Ulaya na Marekani kuzuia uzalishaji nishati

    Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa...
  6. M

    Binti amenipigia kelele kuwa nataka kumbaka baada ya kutokubali ushawishi wake wa kunitaka kimapenzi

    Salute bosses, leo siku naona imeniendea vibaya, nimepigiwa kelele na binti mmoja kuwa nambaka. Huyu binti alikuja eneo nililokuwa nimetulia zangu najinywea bia zangu. Mara akaanza kuleta mazoea ya haraka, alipoona sina mda nae akaanza kunitolea maneno machafu. Ukizingatia mimi ni mwanaume...
  7. Kalunya

    Mwanamke mpumbavu hupiga kelele

    MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE. Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya tushindwe kuwa na amani kwenye mahusiano yetu. Ukiwa kama binti, unaweza usiwe na tabia zingine mbovu...
  8. JanguKamaJangu

    Hii vita ya ubingwa wa Yanga na Simba, hivi TAKUKURU hamsikii kelele za waamuzi kupozwa ligi kuu?

    Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali. Mtaani...
  9. Mshana Jr

    Kelele za mfumo dume hazisikiki tena

    Ni kama vile zimekufa kifo cha asili. Kelele za Uwakilishi wa 50/50 kwenye nafasi mbalimbali za uongozi nazo zimetokomea kizani. Misemo maarufu ya wanawake wanaweza haisikiki tena! Huu ni wakati wao sasa. Na hakuna wakati mwingine zaidi ya huu. ITS NOW OR NEVER! No wakati wa kuthibitisha kwa...
  10. Faana

    NEMC: Huku Mitaani Tunateseka Kelele za Miziki Bar Zimezidi

    Naandika kwako Mkurugenzi wa NEMC - HQ kwamba huku mitaani hasa katika miji kelele za miziki kwenye ma bar, pub saloon za vinyozi, wauza CD, vigodoro pamoja na nyumba za ibada zimekuwa kero kiasi kwamba Mamlaka yako inaonekana ipo tu kama bendera inatumia fedha za serikali bila tija. Kuna namba...
  11. 2019

    Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wa UDSM mliopata 'Sapu' acheni kutupigia 'Kelele' zenu muwapo katika 'Dala Dala' za Ubungo SIMU 2000, Mbezi Kimara na za Makumbusho

    Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu. Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
  13. Nyankurungu2020

    Kelele za wahuni wa CCM na Zitto kumchafua hayati JPM zimeishia wapi? Walidhania watanzania ni wajinga?

    From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu? Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
  14. Ngungenge

    Tumewajua waanzilishi wa kelele

    Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua. Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona Saivi umeme umetulia, maji yametulia wameanza ooh tusikope, kukopa hakuna faida. Aaaa jamani Mama Samia Bado...
  15. Kijakazi

    Kelele za Bandari ya Bagamoyo zimeishia wapi? Haitojengwa, hakuna wa kukujengea bure!

    Ni lini Watanzania tutakuja kuelewa kwamba hakuna kitu cha bure? Yaani Mchina atoke kwao aje kukujengea wewe Bandari kwa lipi hasa? Inanikimbusha Mji wa Kigamboni kwamba USA wanakuja kujenga Mji wa kisasa Kigamboni, USA wachukue fedha za walipa kodi wao wakujengee wewe Mji, kwa lipi haswa? Ni...
  16. Guselya Ngwandu

    Anayewalipa wanaopiga kelele za Katiba Mpya atalipa hadi lini?

    Mitandaoni hususan Twitter, kuna kelele nyingi zinazoitwa 'madai ya Katiba Mpya' Ukitazama vizuri utagundua kwamba huo ni mradi wa watu. Yes, kuna mahali wanapata fedha kupiga hizi kelele zionekane ni madai ya walio wengi. Nenda katazame mtindo wao wa kupost. Kuna siku wanaamka na caption...
  17. L

    Nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu, pia inasaidia kupunguza kelele

    nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
  18. Rebeca 83

    Tupigie wakubwa kelele kuhusu Kilimo mpaka wasikie

    Hello JF, Kuna threads nyingi sana humu za kilimo, jinsi kilivyo na potential ya kubadilisha Tanzania ila wakubwa hata hawajisumbui....sasa naomba tujadili njia za kuwashtua...😥😊😊😭 Seriously nimeona Tanzania ina depend on Agriculture by 76%, hii inamaanisha massively uchumi wetu ni Kilimo...
  19. Equation x

    Kelele za wadada nyumba za wageni zinaaibisha

    Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda...
  20. sky soldier

    Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

    - Uso kwa uso -Huwezi Amini -Atoboa siri Watupiana maneno Afichua mazito Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y. Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video. YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
Back
Top Bottom