Kuna mwaka nikiwah sikia Nemc walitoa tamko la swala la kumbi za starehe na mabar zifunge sound proof (vipuguza sauti na mitetemo) ktk Hizi kumbi ili kupunguza kelele ...
Sijui walifikia wapi ?
Aah nipo hapa Moro town kuna lounge inaitwa Star park inapiga mziki mkubwa mnooo yaan ni kelele tupu...
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,
CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.
Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo.
Tiweke mpango wa miaka minne Kila mwaka tutenge bilioni 100, tutaepuka political issues na pia inawezekana...
Kuna mambo yanafikirisha sana. Watanzania (baadhi) wako tayari hata kuandamana kugomea Bar zisifungwe ila sio huduma nyingine za msingi.
Leo hii eti mabenki yote yanafungwa jioni kuanzia saa Tisa na nusu, only NMB na CRDB pengine na NBC kwa pale Mlimani City na baadhi ya maeneo. Kwahio kama...
Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi.
Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda.
Imagine leo na kuendelea jinsi hali itakavyokua ni huzuni sana tutaambiwa haikuwahi kufungwa kabisa ugenini. Sijawahi ona waarabu hovyo kama...
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
Mimi leo nimesali Pugu Catholich church na ni parokia. Kuna kitu kimenishtua kukuta kanisa liko katikati ya madarasa ambapo kelele na fujo zote wanafunzi wanazipata moja kwa moja.
Hivi ilikuwaje Serikali ikakubali kanisa lijengwe katikati ya madarasa tena ni parokia. Je, na makanisa mengine...
Amani iwe nanyi
Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza kipindi chenu cha mchezo cha asubuhi, huyu mtangazaji wenu anashindwa kusimama katika professionalism ya...
JINSI maisha yanavyokwenda kasi. Ghafla jina la Suleiman Matola limeondoka katika midomo ya mashabiki wa Simba.
Wiki chache zilizopita walikuwa wanaimba aondoke. Sasa hivi wamekaa kimya. Hii ndio tofauti ya Wazungu na sisi.
Wazungu hawana unafiki. Kwa mfano kuna kundi kubwa la mashabiki wa...
Katika Android 13, kuna kipengele kipya kinaitwa “Clear Calling”. Kipengele hicho kinawezesha kuchuja na kuondoa kelele ambazo zinasikika kwenye calls.
Mtumiaji wa Android 13 akiiwasha option hiyo, inaonekana inachuja kelele za background na inasaidia kama mtumiaji akiwa anaongea na simu katika...
Taarifa sahihi ndio msingi wa umoja na mshikamano, kama Taifa tunahitaji kila Mtanzania apate taarifa sahihi kutoka katika vyanzo sahihi. Serikalini katika kila wizara, halmashauri au taasisi kuna kitengo cha habari kwa ajili ya kutoa taarifa ya utekelezaji wa mambo kwenye taasisi hizo au...
Hali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu.
Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea.
Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
Kutokana na hali mbaya ya uchumi, watu wengi tunatumia usafiri wa basi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Mabasi ya siku hizi yanakuja na Tv set. Wamiliki wa mabasi haya wana tabia ya kufungua mziki kwa sauti kubwa sana wakidhani labda ni burudani kwa abiria wote waliomo ndani ya basi husika...
Nimewaza tu hapa, Dem ni kama tayari unaona mmeshapatana upande wa pwani kinchosubiriwa ni kwenda baharini kuvua, Ila cha ajabu anakuja mpaka chumba unacholala au mnaenda lodge ila anakataa kutoa mbususu ..... ile umeanza kama kulazimisha hivi analeta ubishi hataki na anatishia kupiga kelele...
Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo.
1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa.
2. Wanasiasa wenye uchu...
Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote.
Hatukopesheki, hatuna bima ya afya na idadi yetu haijulikwni. Na waliofikisha umri wa miaka 60 (umri wa kustaafu) bado wanalima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.