kelele

  1. Shadow7

    Rais Samia Suluhu: Kuhusu bando, mkalishughulikie, wananchi walipiga kelele mkalituliza

    “Kuhusu suala la mabando kulizuka rabsharabsha juzi hapa, Wananchi wakapiga kelele mkalituliza, kalifanyieni kazi lisizuke namna ile mpo mnaangalia hawa Watu wanakuja tu na mambo yao mpaka Wananchi washtuke na nyie ndio mnashtuka, kakaeni nao” – Rais Samia Suluhu Hassan.
  2. Mboka man

    Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

    Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
  3. Kibosho1

    Tanzania hata akija kutawala malaika bado kelele zitakuepo tu

    Kuna watu tayari wana imani kubwa juu ya awamu ya 6, lakini tujiulize je anatumia katiba ipi? Ile ile au amekuja na yake? Basi kaa ukijua mabadiliko ni machache sana. Binafsi nachokiona kwa Samia ni ubinadamu, utu na usawa, kikanda, kieneo na kidini, haya mambo tuliyakosa sana kwa mtangulizi...
  4. Distant Relatives

    Sina lengo la kukashifu dini, ila Walokole mna kelele sana

    Nina kaeneo kangu nje kabisa ya mji, ambako ninalima na kufuga kiaina. Sifa moja ya huku ni ukimya wake. Hivyo niliamua kuweka kakibanda ambako ninalala siku nikiamua kuja, nina lala huku, ili kujitibu na kelele za mjini. Sasa leo nimekuja, nakuta kelele za ajabu. Kumbe kuna kanisa...
  5. Environmental Security

    Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi tumempa nafasi tumwache afanye kazi yake, kelele za nini?

    Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu. kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu. Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali...
  6. Red Giant

    Hivi hakuna sheria juu ya hizi pikipiki zinazopiga kelele kupita kiasi?

    Wakuu kuna hizi pikipiki ambazo zinapiga kelele kiasi kwamba kama mnaongea inawabidi msimame kama dk moja hivi. Mi binafsi zinanikera sana. Bahati mbaya sehemu ninayokaa ni karibu na barabara, hizi zimekuwa kero kubwa sana. Wengine nao wana hutu tusport car, wanapiga nato kelele balaa. Hivi...
  7. 2019

    Mrejesho: Baada ya kelele nyingi kuhusu Kilimanjaro, niliamua kufanya utalii wa ndani dakika za mwisho

    Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
  8. K

    Kama siyo TANESCO Basi Waziri mwenye dhamana ya umeme acha kupuuza kelele za mitandao ya kijamii

    Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari. Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
  9. Superbug

    Kama nyumba ya ibada imenikuta ninapoishi na ibada zao zinasababisha kelele kubwa, ninaweza kuiomba Mahakama kuwaondoa?

    Nadhani kichwa changu kinajieleza. Mfano msikiti au kanisa wamenikuta mahali ninapoishi na ibada zao mimi kwangu zinanikosesha amani, je naweza kuiomba Mahakama iwaondoe wanipishe? Au ninunue eneo lao?
  10. R

    Chaji yangu ya laptop dell inatoa kelele but haipeleki chaji nifanyaje

    Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana laptop yngu battery mbovu bila umeme haiwak na nina kaz kibao za kiofisi
  11. The Palm Tree

    Sasa naamini hakuna mwanasiasa mzalendo, hakuna! Kelele zote huwa ni za kupigania maslahi ya matumbo yao tu

    Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani kina Tundu Lissu na CHADEMA yake, kina Zitto Z. Kabwe, Maalim Seif Shariff Hamad na ACT Wazalendo...
  12. J

    Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  13. Roving Journalist

    Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

    Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
  14. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  15. J

    Uchaguzi 2020 NEC watumie reverse-psychology. Watoe tangazo kuwa Ruksa kulinda kura. Nawajua Watanzania hawatatokea, na kelele zote zitakwisha

    Mbona kitaa tuna ULINZI SHIRIKISHI? Kwanini wananchi wasishirikishwe kulinda kura? Kwani Tume ya Uchaguzi si ya kwao? Kitendo cha Nec kupiga makelele kwamba hakuna ruhusa kulinda kura, kinawafanya wananchi wahisi kuwa NEC wanataka kuiba. Na wanazidi kukosea kwa kumuandama mgombea anayetetea...
  16. bob nasta

    Wanasiasa wanatuua mapema. Pesa za NSSF wanazitumia kwa maslahi yao, jamani tupige kelele

    Tupige kelele hadi masikio yawaume tuko kimya sana jamani .nendeni kwenye ofisi za NSSF mkaone watu walivyokata tamaa na maisha yani afadhali mkoloni. Mtu unaangaika miaka labda 20 anakatwa mshahara wake huo mdogo,sasa akifika kule ataahidiwa mpaka atakufa njaa. Vijana mko wapi mbona waoga...
  17. Pascal Mayalla

    Uchaguzi 2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

    Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM. Asiyekubali Kushindwa Sio...
  18. Mlenge

    Ufumbuzi wa kelele nyumba za ibada

    Baadhi ya nyumba za ibada huhusishwa na kero ya kelele kwa majirani. Huu hapa ni ufumbuzi: 1. Kila jengo la ibada lenye vipaza sauti vifunguliwe kwa manufaa ya walio ndani ya majengo tu. 2. Majengo ya ibada wanaweza kusababisha kelele wapendavyo, lakini watumie udhibiti wa kelele zisifike nje...
  19. jingalao

    Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

    Wakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani? Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"
  20. MK254

    Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

    Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza. Sisi...
Back
Top Bottom