kenya senate

The Senate of the Republic of Kenya is one of the two Houses of the Parliament of Kenya, along with the National Assembly. The Senate was first established as part of Kenya's 1963 Constitution.
After being abolished in 1966, the Senate was re-established by Article 93 of the new 2010 Constitution to represent counties' interests as well as pass legislation concerning counties.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karen Nyamu Azomewa KICC: Hafla ya Endometriosis Yageuka Uwanja wa Kisiasa.

    Seneta mteule Karen Nyamu alikatizwa na kelele za “Wantam!” alipokuwa akihutubia mamia ya Wananchi, wengi wao vijana, waliohudhuria hafla ya Natalie’s Endometriosis Warriors (N.E.W) katika Ukumbi wa KICC, Nairobi, Jumapili. Video kutoka hafla hiyo inaonesha baadhi ya waliohudhuria wakianza...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi

    Katika hali isiyotarajiwa, Naibu wa Kenya Rais Rigathi Gachagua ameripotiwa kuzidiwa na kupelekwa hospitalini zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya kutoa ushahidi wake. Wakili wake, Paul Muite, aliwaambia Maseneta kuwa Gachagua alizidiwa baada ya chakula cha mchana wakati akisubiri kesi ya...
Back
Top Bottom