Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya.
Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
"Kila mtanzania analaumu watanzania wengine ni wajinga hawaleti mabadiliko, na hao wanao laumiwa nao wanalaumu" - min -me
Kwa takriban juma zima sasa suala la kashfa ya sukari ime trend sana kwenye mitandao ya jamii na JF ikiwa ni moja wapo. Hatimaye sakata la sukari likiwa linaendelea...
Hii sio wiki nzuri kwa nchi zetu za Afrika Mashariki hasa Tanzania na Kenya. Wakati Kenya wanaandamana kihuni kupinga kupitishwa kwa sheria mpya ya fedha huku Tanzania kuna mgomo wa wafanyabiashara. Hawa wafanyabiashara wana hoja kadhaa za msingi ingawa pia wanazo hoja zingine za kipumbavu...
Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu.
Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa...
Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu.
Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi.
Viongozi kutwa kucha kupitisha...
miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto...
Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako.
Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.
3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na...
Kuna dalili inaonekana vijana wamechoka na serikali za kiafrika mifumo yake.kinachoendelea kenya kinaanza kuamsha wengine nchi za afrika.
mda utasema tu mpaka kufikia 2028
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
Shirika la Uchunguzi la Mtandao la NetBlocks limethibitisha kuwa Data ya Mtandao ya moja kwa moja inaonyesha kuna usumbufu mkubwa wa muunganisho wa Intaneti Nchini Kenya, ikiwa ni siku moja pia tangu Mamlaka kudai hakutakuwa na kuzimwa kwa Mtandao.
Watumiaji mbalimbali wa Mitandao hasa wa X...
Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge umevunjwa, waandamanaji wameonekana wakila chakula na kutapanya kila kitu!
Jengo la Seneti limevunjwa...
Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja.
Huku kwetu wametuita Dodoma tena wametupa siku mbili, hamna anayeuongelea. Mwendo wa HS code kwenye muswada, wachumi wetu wako wapi...
ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...