kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. A

    "KANU" bado inatawala Kenya

    1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002. Mwai Kibaki aliyewahi kuwa Makamu wa Rais akatangazwa mshindi. 2. Baadae 2007 Uhuru akawa Naibu Waziri Mkuu na majina ya Vyama yakabadilika, 2013 Kenyatta akaunda Chama...
  2. A

    Maandamano Vs Migomo Kenya

    1. Maandamano na Migomo japo vinaweza kwenda pamoja ila mara nyingi Migomo huleta suluhisho la haraka na mara nyingi Positive kuliko Maandamano. 2. Eg. Migomo ya marubani Kenya airways, Madaktari, Wahadhiri Vs Maandamano ya Gen Z.
  3. Inevitable

    “Utekaji” waitesa Kenya. Wananchi wanatekwa na kupotezwa. Saba watekwa ndani ya siku 7

    https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted Several social media users and content creators are missing after they were abducted in overnight operations in the country hours to anti-Finance Bill demonstrations. Officials...
  4. JanguKamaJangu

    Amos Makalla: Tumesikia yanayotokea Kenya, CCM tuna la kujifunza

    Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi...
  5. S

    Polisi mkuu wa Kenya (IGP) avunjika mikono akiwalipua waandamanaji.

    Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya. Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha kawaida? Hata ingekuwa wa cheo cha chini mimi nimefurahi fundisho hilo kwa mapolisi wakuda wa aina...
  6. Cathylin 2002

    Wasomi Tanzania vs Kenya

    Good afternoon Tanzanians Nina Mambo machache ya ku wauliza. Why wasomi na vijana wa Tanzania hawana moyo wa kuthubutu kabisa wapo busy na Simba na yanga hawajui sheria katiba hawajui hawajui umuhimu wa siasa katika maisha Yao Mawazo ya vijana wa Tz awe lottery degree holder (useless...
  7. Zanzibar-ASP

    Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

    Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa...
  8. Allen Kilewella

    Je, wanawake wa Tanzania wanaweza kupambania haki zao kama wanawake wa Kenya!?

    Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo. Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi...
  9. Ikaria

    Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  10. Ikaria

    Je, GenZ wa Tanzania wanaweza kusimama kidete kama wenzao wa Kenya?

    Bila shaka ni ukweli usiopingika kuwa maandamano dhidi ya serikali ni ya kwanza ya aina yake nchini Kenya. Kwa nini? Maandamano ya kupinga mswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024 hayakuongozwa na Mwanasiasa yoyote Wala Chama chochote cha kisiasa; bali yaliratibiwa na vijana hasa wa kizazi Z kwa...
  11. Tlaatlaah

    Teknolojia ya habari, mawasiliano na mitandao ya kijamii ilivyo fanikisha maandamano na mageuzi katika mapendekezo ya kodi, tozo na ushuru Kenya

    Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji... Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu.. Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
  12. Mfikirishi

    Maandamano Kenya ni Ukomavu wa Akili

    Binadamu ni akili inayoishi ndani ya mwili! Na akili inahitaji elimu bora ili kuikomaza vizuri. Siasa na serikali ni mifumo ya kijanja janja sana. Inahitajika akili iliyokomaa kuweza kukabiliana nayo! Maandamano yanayofanyika nchini Kenya hayana viongozi wa kisiasa! Ni vijana walioelimisha...
  13. Stuxnet

    Maandamano ya Kenya Dhidi ya Finance Bill 2024, Watanzania Waitamani Kenya

    Siku 3 hizi ambapo maandamno ya vijana wa KENYA yameshamiri kupinga Finance Bill 2024, huku nchini kwetu kwenye social media nimeona kuwa Watanzania wanatamqni na sisi kwetu ingetokea kama Kenya. Sijui tuna upungufu gani wa maono ila mdharau pazuri, pabaya pana msubiri PIA SOMA - Nguvu ya...
  14. Ikaria

    Video: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana akisubiri kupelekwa hospitali baada ya kuumia

    NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha
  15. J

    Majirani zetu Kenya wanahenyeshwa na kizazi Cha 1990s, Wabunge wako njia panda

    Waandamanaji wa Kenya ninawaangalia hapa Citizen TV hakika ni vijana Wadogo Wadogo Watupu Wabunge wameambiwa waamue kusuka au kunyoa Kwani safari ya kutafuta Kenya mpya ndio inaanza Rasmi Leo Ni vijana Wadogo Wadogo kama akina Lucas huyu wa UVCCM 😂😂
  16. D

    Tunajenga flow 22 za gorofa Kenya ?! What for ?? ! Kazi ya minister of foreign affairs 🚮

    Hatuna Barabara , shule zetu mbovu sana . Bima za afya ni majanga . Maji hatuna ,umeme hatuna wa uwakika . We are very poor Kwa nini tunajenga flow 22 za gorofa Kenya Kama barozi !!??? Tunaenda wapi ?! Tanzania is dead
  17. Miss Zomboko

    More than 200 protesters have been arrested in Kenya’s capital, Nairobi, in ongoing protests against proposed tax hikes

    More than 200 protesters have been arrested in Kenya’s capital, Nairobi, in ongoing protests against proposed tax hikes in a finance bill that is due to be tabled in parliament. Civil society groups say that despite the arrests, demonstrations and a planned sit-down outside the parliament...
  18. TODAYS

    Jirani, Wananchi Hawaelewi Kilichopo Kichwani Kwa Rais Wao ni nini!

  19. Allen Kilewella

    Serikali ya Kenya imewasikiliza Wakenya. Sisi tunajadili Mwijaku na Masoud Kipanya

    Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa. Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
  20. B

    Katiba Mpya imefanya Mapinduzi ya Kiuchumi, Kenya imezipiku Mapato ya Tanzania, Uganda na Rwanda kwa Pamoja

    Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida. Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha zako mwenyewe. Kwenye upande wa kudhibiti matumizi na kuhakikisha hakuna ukwepaji wa kodi, upotevi...
Back
Top Bottom