1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002. Mwai Kibaki aliyewahi kuwa Makamu wa Rais akatangazwa mshindi.
2. Baadae 2007 Uhuru akawa Naibu Waziri Mkuu na majina ya Vyama yakabadilika, 2013 Kenyatta akaunda Chama...