Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana.
Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao.
Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano.
Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa?
Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi?
Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida...
Rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba utawala wake umekamilisha asilimia 80 ya kuweka huduma za serikali kidijitali.
Akizungumza leo Jumatatu, Ruto amesema kuwa ana furaha sana na maendeleo ambayo utawala wake umefanya hadi sasa.
Amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Connected...
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao.
Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
Leo Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa na fedha yao imeimarika kutoka Ke 160 kwa 1 usd na kupanda kwa Ke 130 kwa 1 usd lakini kwa Tanzania kila kukicha bei ya mafuta inazidi kupaa na fedha yetu inazidi kushuka.
Je, kulikoni?
---
The shilling’s strong rally against the dollar has...
Shame on you,
Kiwanda cha pareto pale mafinga mlikiua Kwa makusudi huku mkijua ukanda wa kuanzia kyela hadi njombe wanalima pareto na kiwanda kiliajiri vijana wa kitanzania wengi.
Mkaenda kuua kiwanda cha matairi ya magari General Tyre cha Arusha na mashine mkang' oa mkapeleka kenya.
Mnatoa...
Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka.
Sijasomea uchumi kokote
Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu
Sarafu yetu inaporomoka.
Hatuuzi nje.
Hatupati dolla nyingi.
Matokeo yake dolla inakosekana sokoni.
Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi.
Matokeo yake ya...
Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya Kenya inabadilishwa kwa Tshs.19.82. Kulikoni?. BOT mko wapi?.
Maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Uingereza wameshtakiwa kwa kuwakaribisha wanajeshi wapya kutoka Uingereza waliotumwa katika kituo cha kijeshi cha Nanyuki nchini Kenya kwa kuwalazimisha kufanya ngono bila kinga nchini humo.
Kutokana na ripoti iliyoandaliwa na jarida la Afya ya Kijeshi la...
Mwanamuziki kutokea nchini David Adeleke, maarufu kama “Davido”, amekanusha uvumi kwamba amekamatwa nchini Kenya alipokuwa katika ziara ya muziki Aprili 1, 2024 baada ya dawa za kulevya kupatikana kwenye ndege yake binafsi.
Kufuata uvumi huo mwimbaji huyo wa Nigeria amesema atachukua hatua za...
Katibu wa Wizara ya Kilimo nchini Kenya, Dkt. Paul Rono, ameamuru kusitishwa kwa uuzaji wa mbolea aina ya NPK 10:26:10 inayotengenezwa na kampuni ya Ken Chemicals ya Thika.
Katika barua yake kwa Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB), Dkt Rono amesema uchunguzi uliofanywa na maafisa wa...
Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni.
Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
JUMUIYA YA MKUTANO WA KAMATI YA NANE YA PAMOJA YA BIASHARA (JTC) KATI YA JAMHURI YA KENYA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHUGHULIKIA MASUALA YANAYOATHIRI BIASHARA TAREHE 18 - 22 MACHI 2024, KISUMU, KENYA.
1. Mheshimiwa Dkt William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mheshimiwa Dkt...
KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Kenya
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema ODPC...
Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa haki sawa tunaleta siasa.
Nilijiuliza sana bila kupata jibu zuri. Kama kweli viongozi wetu wanapenda...
KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo .
Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.