Timu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), ikiongozwa na Afisa Uhusiano Mkuu, Vicky Kamata, imefika katika Kata za Katangara Mrere na Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, kwa lengo la kusikiliza changamoto na kutafuta suluhisho la pamoja kuhusu kero ya nyani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.