Barabara kuu inayotoka Buzuruga kuelekea Nyasaka hadi kuungana na Airport Road jijini Mwanza ina mashimo mengi ambayo yamekuwepo kwa zaidi ya miezi sita bila kutatuliwa.
Hali hii inasababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara na inaweza kuhatarisha usalama wao. Tunaomba mamlaka zinazohusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.