kero ya kelele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya G Seven Mwanza imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo ambalo limekuwa ni kero Kwa wakazi

    Habari ,naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani Mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani , Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo ambalo limekuwa ni kero Kwa wakazi wanaoishi maeneo Jirani, Jambo ambalo limekuwa likileta makelele na...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yaani Kawe yote ni kelele tu kutokana na uzinduzi wa kampeni za CCM. Hii ni noise pollution

    Wakuu, Sawa ndio kuna uzinduzi wa kampeni hapa Kawe lakini kelele zimezidi Kuanzia bodaboda, madaladala na huu utitiri wa watu yaani kuna kelele ambazo sio za nchi hii Huu uzinduzi ungefanyika hata nje ya mji kidogo jamani. Kawe kuna watu wana magonjwa ya moyo hawataki kelele ila ni kama...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mdau aliyeripoti kelele Mtaa wa Alesika shukrani zikufikie huko ulipo, sasa imebaki Kanisa la Angles Ministry kutumia Sound Proof

    Wakuu kwema? Kuna mdau alileta kuhusu suala la Mtaa wa Alesika, Mbezi Beach kwenye baa na Kanisa la Angels Ministry kuwa kero kutokana na kulele kubwa kutoka kwao na walikuwa kikesha usiku kucha. Upande wa Pub ya Amigos tunashukuru suala hili wamejirekibisha, shida imebaki kwenye kanisa la...
  4. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele usiku kucha Mbweni Mpiji-Ungindoni sababu ya vigodoro na pub tumezichoka, tumeripoti serikali za mtaa lakini kazi bure

    Wakuu Huku Mbweni Mpiji maeneo ya Ungindoni wakiwa na sherehe zao za vigodoro ni kero kubwa, wanakesha usiku kucha na mziki ni mkubwa kiasi kwamba ni changamoto hata kupata usingizi. Mbali na hili ni hatari kwa watoto pia, ukienda kuchungulia mida ya saa tano sita usiku hukosi watoto, kwa watu...
Back
Top Bottom