McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Sawa ndio kuna uzinduzi wa kampeni hapa Kawe lakini kelele zimezidi
Kuanzia bodaboda, madaladala na huu utitiri wa watu yaani kuna kelele ambazo sio za nchi hii
Huu uzinduzi ungefanyika hata nje ya mji kidogo jamani. Kawe kuna watu wana magonjwa ya moyo hawataki kelele ila ni kama wanakomeshwa yaani
Kibaya zaidi hata huo ufunguzi wenyewe umefanyika kwenye open space. Kelele tupu
Nashauri ipitishwe sheria, kampeni zifanyike kwenye arena na maeneo ya ndani. Kuna wengine hatupendi siasa wala kelele mnatuchosha
Nawasilisha