Wakuu,
Sawa ndio kuna uzinduzi wa kampeni hapa Kawe lakini kelele zimezidi
Kuanzia bodaboda, madaladala na huu utitiri wa watu yaani kuna kelele ambazo sio za nchi hii
Huu uzinduzi ungefanyika hata nje ya mji kidogo jamani. Kawe kuna watu wana magonjwa ya moyo hawataki kelele ila ni kama...