Baada ya Mdau kuwasilisha kero yake kupitia JamiiForums kuwa licha ya kuwa wanakatwa pesa kwaajili ya mfuko wa hifadhi ya Jamii (NSSF), michango yao haifikishwi, na hata walioachishwa kazi nao hali yao ilikuwa hivyo na kuitaka mamlaka husika kufuatilia, RC Mtanda ametoa maagizo.
Pia soma KERO -...
TRA Tanzania
Kwa muda sasa tangu mfumo wenu mpya umeanza watu wamekuwa wakipata changamoto ya IP kuwa blocked, yaani mteja anapojaribu kuingia kwenye mfumo anakuwa disconnected.
Sijajua kama hii ni security feature ama ni BUG ila mlitazame hili; Mmeblock IP za internet ya Ofisini kwangu kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.