ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
TRA Tanzania
Kwa muda sasa tangu mfumo wenu mpya umeanza watu wamekuwa wakipata changamoto ya IP kuwa blocked, yaani mteja anapojaribu kuingia kwenye mfumo anakuwa disconnected.
Sijajua kama hii ni security feature ama ni BUG ila mlitazame hili; Mmeblock IP za internet ya Ofisini kwangu kiasi kwamba sasa nawalazamisha Watumishi watumie VPN au personal Hotspots. Mwanzoni nilifikiri shida ni internet yangu kumbe mmeblock IPs. TRA litazameni na hilo
Swala lingine ni Response Time ya Queries ambazo zinaletwa online.Haina maana mtu ametuma Querry au Request katika Mfumo kisha atakiwe tena kwenda kwenye ofisi za TRA kufuatilia QUERY ambayo alishatuma ONLINE ili ifanyiwe kazi. Hiyo ni Tafsiri ya Incompetence.
Mwisho kuna hizi penalty ambazo zinatokana na Non Compliance, fanyeni namna kama mnaweza mziondoe ili huu mfumo mpya walipa kodi waanze na Clean slate maana haina maana mtu anakuwa na Penalties anadaiwa na TRA ambazo ni siwa na Budget ya TANZANIA ya Miaka mitano.
Hata kama lengo la Penalties ni kutaka kuhamasisha Compliance inabidi sasa muwe reasonable maana kuwa na Penalties ambazo hazilipiki nao ni kukosa Maono.
Wekeni Amnesty hata ya Miezi sita ili pia mifumo yenu iwe clean.
TRA yatoa ufafanuzi ~ Kayombo: Mfumo wa ulipajikodi wa IDRAS wa TRA umerekebishwa, tunaomba radhi kwa walipakodi waliopatwa na adha