Baada ya Mdau kuwasilisha kero yake kupitia JamiiForums kuwa licha ya kuwa wanakatwa pesa kwaajili ya mfuko wa hifadhi ya Jamii (NSSF), michango yao haifikishwi, na hata walioachishwa kazi nao hali yao ilikuwa hivyo na kuitaka mamlaka husika kufuatilia, RC Mtanda ametoa maagizo.
Pia soma KERO -...