kero

  1. Barabara inayoelekea kwenye Mahakama Kinondoni,Ofisi za OSHA ina mashimo yanaleta kero, TARURA ipo wapi?

    Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo linapeleka madhara ikiwemo kuleta usumbufu kwa wenye magari, ambapo baadhi tumekutana na changamoto ya...
  2. KERO Kero ya vifusi ndani ya stendi ya nanenane, Mbeya

    Mbeya city council viongozi wamekosa uwajibikaji kabisa baada ya kuwasilisha kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya stand ya nane nane , kumekuwa na vifusi vilivyo mwagwa ndani ya stand kwa zaid ya wiki mbili baada Tu ya kuwasilisha kero hii . Ombi langu kwa mamlaka husika zichukue...
  3. KERO Makundi ya jogging na kero zao

    Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero. Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu. Yaani kila Jumamosi mnafunga barabara. Huu upuuzi wngine tuna misele yetu mnatupotezea. Ova
  4. Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box. Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua. Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
  5. Bando linapaa hadi kero

    Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero
  6. K

    KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
  7. N

    Kuondoa kero ya mabasi ya mwendokasi - Rais naomba nafasi mimi mzalendo

    Mh. Rais pole na majukumu yako ya kila siku na kubwa ni katika kuwaletea maendeleo watanzania. Natambua kuwa kwa nyakati tofauti tofauti ukipata nafasi huwa unapitia mitandao ya kijamii na kuona au kusoma jumbe mbali mbali wanazotoa watanzania au jumbe za kukushauri na nyingine nyingi za...
  8. KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  9. KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  10. Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  11. Kero ya ukosekanaji wa maji

    Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza...
  12. Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
  13. Pre GE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), kufanya ushawishi ili watu baki wakubali hitimisho lako la kiutafiti (convincing)...
  14. H

    Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  15. KERO Kata za Kikio na Misughaa, mnara wa TTCL unatumia mitambo ya umeme wa jua nakupelekea usiku mawasiliano kukata

    Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida. Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu. Ni zaidi ya kero...
  16. R

    KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  17. C

    KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  18. Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
  19. Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  20. R

    Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

    Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika. Kina kitu kibaya anakilenga. 1. Mara tutatawala milele 2. Mara tutawashughulikia 3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa 4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii Senile imbecile imeshamtembelea Hata hao mnaowategemea kukulindeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…