kero

  1. Stephano Mgendanyi

    DC Mwenda atoa majibu ya kero tano (5) nzito Wilayani Iramba, Singida

    ZIARA YA MHE MWENDA YATOA MAJIBU YA KERO 5 NZITO IRAMBA Akiwa siku yake ya pili ya ziara ya kuendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata ya Kiomboi, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda alipokea changamoto ya maji ambayo Mwakilishi wa Meneja wa RUWASA akatoa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Iramba: DC Mwenda ataka mpango mkakati wa kutekeleza majukumu, akaza kamba kero za Wananchi

    MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI. Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
  3. Analogia Malenga

    TAMISEMI: Halmashauri zibuni vyanzo vipya vya mapato bila kuwakera wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa wananchi. Akizungumza leo na...
  4. kingkongtz

    Waendesha bodaboda mnakera kulazimisha watu kupanda pikipiki zenu

    Kwema ndugu zangu, Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini. Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi. Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au? Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
  5. K

    Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
  6. Fohadi

    Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
  7. bestboy

    Kero ya Foleni Mbagala, viongozi mpo wapi?

    Niende moja kwa moja katika hoja ya msingi. Leo nikiwa natokea maeneo ya kijichi majira ya saa mbili usiku, nimeshangaa sana kuchukua zaidi ya masaa mawili bila ya kufika mtongani. Yes naelewa ujenzi wa barabara unaoendelea lakini bado sitaki kuamini kwamba inaweza kuwa sababu ya kuwaweka watu...
  8. Erythrocyte

    Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

    Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
Back
Top Bottom