kero

  1. luangalila

    Kero: Wakurugenzi wa Elimu Wilaya kujifanya wana shida zaidi na walimu wa Sayansi

    Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa. Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake. Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
  2. Kapepo

    Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

    Last week natoka Mwanza kuja Dodoma nimekaa na jamaa anakera kweli kweli kwenye siti yeye na mtoto wake kufika hadi kunitapikia. Tuligombana sana hadi nafika Mwanza, leo narudi Mwanza kwenda Dodoma kuna kijana kapandia njiani kaja kukaa siti ya pembeni yangu yaani kwanza ananuka sana pili ni...
  3. Mr Dumila

    Umeme Dumila umekuwa kero iliyopitiliza toka Novemba 2021

    Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza. Sio kwamba ulikuwa haukatiki kipindi cha mwendazake la hasha ulikuwa unakatika sana tu ila awamu hii imepitiliza Alipoingia January Makamba hali ndio imezid kubadilika yaani umeme unaweza katika siku 5...
  4. luangalila

    Kero: TBC punguzeni kutuwekea nyimbo za taarabu asili mnaboa

    Hakika sikio la Kufa halisikii dawa Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa Acheni mambo yenu TBC embu...
  5. GENTAMYCINE

    Kumbe Israeli 'akitukosakosa' kuondoka nasi mazima Udongoni hadi Mbinguni na Kunusurika huwa tunakuwa Kero na Kituko hivi?

    Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Chanzo: Swahili Times Mtandaoni Lini uliteuliwa kuwasemea Watu wote?
  6. B

    Waziri wa Ardhi na ahadi za kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Ardhi na Makazi William Lukuvi ni fundi sana wa kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa ahadi keme kem za jinsi Wizara yake itakavyotatua kero za wananchi. Lakini ukichunguza sana ahadi zake ni maneno tu na hazitekelezi. Mara nyingi hujitokeza wakati kama hivi sasa ambapo Rais...
  7. Mparee2

    Wawekezaji wasaidiwe kutatua kero kwa urahisi

    Nimesikia muwekezaji mmoja Mkubwa tu ( Vasso Agroventures) kwenye media akilalamikia kutozwa kodi kubwa na zisizo eleweka pamoja na kuingiliwa miradi yake ya uwekezaj na mwaka 2021 amepata hasara ya shs Bilioni 8 huku akiwa ame ajiri wafanyakazi zaidi ya 1000. Wahusika TRA na Kituo cha...
  8. T

    Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    Habari wanajamvi? Kuna hili suala la Kero za Muungano zilizogonga mwamba kutatuliwa Kwa awamu nyingi zilizopita!Lakini awamu hii ilipoingia tulitangaziwa kero hizo zilizosumbua sana zimetatuliwa chini ya SSH ndani ya muda mfupi! Ajabu ni kwamba waandishi wa habari wakabeba taarifa kama...
  9. Lee

    Kero: TAZARA (MFUGALE FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  10. sky soldier

    Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  11. Kelela

    KERO: Baadhi ya Walimu wa boarding sio waaminifu

    Kama mupo walimu wa tabia hii jirekebisheni. Mzazi unahangaika unapata chochote kitu unaamua kumtumia mwanao pesa ya matumizi, kwa kuwa wanafunzi hawaruhusiwi kumiliki simu tunatumia namba zenu walimu kama munavyotuambia. Sasa baadhi ya walimu hamna uaminifu, unatumiwa pesa ya mtoto na...
  12. Kinuju

    Amos Makalla: Kwenye kero nilizozikuta wapo wanaume wanaonyanyaswa. Kuna wanawake wana fedha wanahitaji tu wanaume wa kuwaoa

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu wakiachana wanawanyang'anya kila kitu hivyo hurudi nyuma kimaisha kwa kuwa mwanaume suruali. ======== Mkuu...
  13. Frumence M Kyauke

    Uzi wa kero ya kuombwa kolabo mara kwa mara huku mambo muhimu yanakusubiri

    Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi. Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile...
  14. rich1

    Kero yangu kwa huduma kwa wateja (Tigopesa na M-pesa)

    Kwema ndugu, Leo kero yangu nawatupia kitengo cha huduma kwa wateja upande wa Tigopesa na m-pesa wamekuwa wazito au kuchukua mda mrefu sana kupokea simu ya mteja pindi anapokoesa kutuma pesa kwa mteja mwingine. Tunawaomba mfanye marekebisho haraka ili kuweza kuokoa pesa za mteja wenu pind...
  15. B

    Tochi za Polisi hazipaswi kuwa kero - Kagame na mkia wa chui

    Wale waheshimiwa wa kutozingatia PGO ambao kwetu barabarani tochi wamefanya huo ni ulaji wao rasmi na wa kudumu, nani wa kuwafunga kengele? "40km/h limit hiyo ni kwa watembea miguu. Tufike mahali tuwe na muafaka wa pamoja usio na madhumuni ya kukera wengine" - amesikika mwamba Kagame. Makwetu...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Kero yangu: Kuulizwa kama nalipa bili ya watu wote

    Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri. Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote...
  17. M

    Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  18. Latebloomer

    Masalange; Kero ya usafiri katika mabasi iliyofumbiwa macho

    MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO! Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
  19. MMASSY

    Watendaji mamlaka ya maji Arusha (AUWSA) ni kero

    Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na kuungana naye katika hafla ile nikijua tumepata ukombozi ndani ya jiji la Arusha. Pamoja na kuwa...
  20. D

    Kongole kwenu viongozi kwa hili; Walichokuwa wanakifanya machinga ni utapeli, uchafuzi na kero

    Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa! Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana! Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
Back
Top Bottom