Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa,
Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo!
Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses.
Ndugu nipeni ushauri nina jirani yangu hapa tumepanga nae sasa yeye kila sku analeta demu na huwa anatumia vigra maana wanaanza mapenzi kuanzia saa nne Hadi asubuhi hapumziki na mimi hapa nashindwa kulala
Maana kila demu anaeletwa anamegenwa na kulia usku kuacha sasa hii Hali jamaa amenifanya...
Hii sasa imekuwa too much ingawa mimi sisaidii kulipa mishahara hao watangazaji wenu na mnatumia hayo matangazo labda kulipa hao watangazaji kiukweli vituo vya radio vya Tanzania vinakera sijajua kwa nchi nyingine kwa sababu sisikilizi vituo vya radio vya nchi nyingine.
Matangazo yamezidi tena...
Rais Samia nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ninayokila sababu ya kukuambia karibu Tanga lakini uwe makini maana viongozi waliopo bado hawajajua unacho kitaka.
Ninasema hivo kwasababu zifuatazo
1: Hela asilimia 10 kwaajili ya wanawake,vijana na walemavu Tanga ni hadithi ya...
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta.
Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
Habari wana JF,
Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi.
Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022
1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU.
Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada.
Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh.
hizi mpya yani kawaida kukuta...
DKT. SAMIZI ACHANJA MBUGA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUHAMASISHA SENSA JIMBONI.
Leo imekuwa mwendelezo wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe Dkt. Florence George Samizi ambaye ametembelea kwenye Stendi ya Halmashauri ya Kibondo na kuhamasisha Sensa ya watu na makazi...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi na ziara yake Jimboni kwake kuendelea kusikiliza kero za Wananchi na kuzitatua, kusisitiza watu kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa kwenye Sensa na mambo mengine mengi.
Kilio chetu kwa mkuu mkoa DSM sisi wananchi mkoa DSM kuna tabia sasa imerudi ilikuwepo zamani ikaondolewa wakati fulani sasa imerudi tena kwa kasi.
Kuna kampuni zimesajiliwa sijui na TARURA kukamata magari barabarani pale unaposimama na kupaki mahali au gari ikiwa imeharibika njiani.
Kwanza ni...
Wakuu Salaam.
Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi.
Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
Habari ya wakati huu wakuu?
Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hii tabia ya watu kupenda kumiliki vitu vingi visivyotumika. Nitavitaja kimoja kimoja lakini sioni mantiki ya wao kufanya hivyo kwa sababu wakati mwingine huishia kutengeneza uchafu.
1. Mabegi/mafurushi makubwa kwenye safari...
Incenerator ni Mtambo utumikao kuteketeza taka. Mitambo ya aina hii ni maarufu sana kutumika kwenye Mahospitali na Viwandani, ila pia ipo Mitambo mikubwa na midogo kwa ajili ya kutumika majumbani.
Ukizunguka kwenye Miji hii mikubwa kama Jiji la Dare Es Salaam, Arusha n.k lazima utakubaliana na...
Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki?
Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
Daraja la Nyiburu ni daraja pekee ambalo limekua kero kwa wakazi wa Chanika.
Madiwani wapo, wabunge wapo hivi inahitajika nin cha ziada ambacho kama wakazi tunaweza kuelezwa mkandarasi alipewa muda gani kumaliza hilo daraja?
Sasa ni zaidi ya miwili kama wanajenga flyover kweli?
Daraja la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.