kesi jengo la kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewaachia Huru washtakiwa wawili kesi ya kuanguka kwa jengo Kariakoo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa wawili kati ya sita waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa, eneo la Kariakoo. Wawili hao ambao ni Zenabu Silam (61) na Ashour Awadhi Ashour (38) wameachiwa huru leo baada ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Jengo kuporomoka Kariakoo yaahirishwa hadi Desemba 30,2025

    Shauri la kesi ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, linalosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu limeahirishwa tena hadi Disemba 30 baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuwasomea washitakiwa maelezo ya mashahidi na vielelezo baada ya kubainika kuwa baadhi ya nyaraka hazipo...
Back
Top Bottom