kesi ya heche

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mawakili wa kesi ya John Heche waomba ahirisho, kesi kuendelea Novemba 13,2025

    Jopo la mawakili linalomuwakilisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche linaolongozwa na Wakili Selemani Matauka limeomba ahirisho kuhusu pingamizi lililowekwa na upande wa Jamhuri juu ya maombi ya Mwenyekiti huyo dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini. Hatahivyo Jopo la mawakili wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutaka Heche afikishwe Mahakamani yaahirishwa hadi Novemba 10, 2025, IGP na wenzake wafika mahakamni

    Kesi namba 26287/2025 iliyofunguliwa dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini na wenzake ikitaka kufikishwa mahamani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche imeahirishwa mpaka jumatatu ya novemba 10, 2025. Kesi hiyo iliitwa kwa mara ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…