kesi ya uhani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mashtaka ya Tundu Lissu ni ya kweli. Tafsiri ya uhaini kwenye katiba ni hii

    Wanabodi, Wanao amini kwamba mashtaka ya Tundu Lissu yanatakiwa yafutwe kwasababu anahukumiwa kwa alicho kisema na sio alicho kifanya wanatakiwa waelewe vifungu vya katiba vinaeleza nini kuhusu uhaini
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wote tukutane Kisutu tarehe 24 kwa Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho na Wananchi kwa ujumla kufika kwa wingi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku ambayo Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu atafikishwa Mahakamani April 24 kwa ajili ya kusikiliza...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wahoji kulikoni awamu ya 3, ya 4 na ya 5 hakukuwa na kesi za Uhaini, Kulikoni awamu ya 6?

    Wananchi wengi wanahoji sasa kwamba ilikuwaje katika awamu ya 3, ya 4 na ya 5, ambazo zote hizi zilikuwa na Vyama vya Upinzani hakukuwahi kuwa na kesi za Uhaini? Why Awamu ya 6 itengeneze kesi ya Ugaidi ya Mbowe na sasa imetengeneza hii ya Uhaini ya Tundu Lissu? Uchunguzi wetu umebaini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…