Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho na Wananchi kwa ujumla kufika kwa wingi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku ambayo Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu atafikishwa Mahakamani April 24 kwa ajili ya kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Heche ameyasema haya katika mkutano wa Hadhara uliofanyika katika viwanja vya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wakati akihutubia mamia ya Wananchi waliofika kumsikiliza ambapo amewataka Wanachama kufika bila kuwa na silaha yeyote wala kufanya fujo bali wabebe vitambaa vyeupe na maji.