Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi...
Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina.
Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu.
Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa...
Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo?
#HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia...
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.
Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.
Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa...
Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha...
Yeereeeeeh!
Mataifa ya kiarabu pamoja na Iran yamejitetea na kudai kukaa kwao kimya kwenye mzozo kati ya Israel na Hamas ni kwasababu wanataka amani itamalaki duniani.
Wanasema laiti wangeingilia kati sasa hivi kusingekalika na kuchimbika na Israel kufutika mara moja.
Sasa hivi wanamtumia...
The United Arab Emirates, which has rolled out one of the world’s fastest coronavirus inoculation programs, is considering restrictions on people who haven’t yet taken a vaccine despite being eligible for one.
The country started its vaccination campaign last year and has administered about 9.8...
Wakuu; Jumapii ya leo imenoga
Niko na rafiki yangu hapa tuko na karatasi imeandikwa Jina lake mara nyingi sana pamoja na maneno ya kiarabu halafu ikachomwa sindano.Ilikuwa imehifadhiwa ndani ya nyumba yake.Kwenye nyumba yake wanaishi watu wawili tu.Mama yake na Mke wake pamoja na watoto...
Kama tujuavyo, Kiswahili husifiwa kama lugha ya rasmi ya Tanzania. Lakini kabla ya kusanifishwa, Kiswahili kilikuwa kimeandikwa kwenye herufi ya Kiarabu kwa muda mrefu sana. Naomba kuwauliza ninyi wapendwa wenzangu wa JF, nani mtaalamu wa lugha anaweza kunifundisha Kiswahili kilichoandikwa...
Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo.
Baadhi ya majina hayo ni pamoja na:
1. John: Wasukuma. Wasukuma wanalipenda sana hili jina. Ukikutana na mtanzania anaeitwa...
Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi yatakapopigwa marufuku. Nchi nyingi za Ulaya zitapiga marufuku magari yenye sumu ya ukaa by 2030. Vinu vya...
Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.