kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiturilo

    Barabara ya njia nane- Dar - Kibaha yakwama. Serikali yakanusha

    Barabara iliyokuwa inajengwa kwa kasi ya njia nane kutoka Dar hadi Kibaha imekwama kumalizika ujenzi wake kutokana na ukosefu wa fedha,Tanroads wamebainisha. Waziri wa ujenzi prof Mbarawa alipotafutwa kutolea ufafanuzi madai hayo, simu yake iliita bila kupokelewa. My take. Chadema meno yote...
  2. R

    Mtu sharp nimtume kwa siku ya kesho Kibaha stand na Mbagala posho elfu 15

    Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni! UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
  3. sanalii

    Barabara ya kibaha mlandizi imekua ndogo magari mengi, usafiri umekua tabu sana kwa sasa

    Kuna hitaji ujenzi wa dharura wa barabara ya zamani ya kibaha mlandizi then mpango wa barabara nne ulioishia kibaha mailimoja ufike japo mlandizi, kwa sasa ikifika jioni ni shida, kwa mfano leo gari moja tu lime break down basi tangu saa kumi hadi saa nne hii ni foleni, TANROADS naomba mulione...
  4. B

    Kibaha: Jogging ya BAWACHA yapigwa stop na Polisi

    Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano 😂 Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
  5. Kibenje KK

    Plot4Sale Viwanja Kibaha kwa bei nafuu ya ofa

    Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule. -Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana. -Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana. -Neighbourhood yake...
  6. Mr. MTUI

    Aliyeweka tuta kituo cha Maji njia ya Kimara-Ubungo na zile zebra nyingi kibaha high way alifikiria nini?

    Sometimes huwa nafikiria sana wabongo huwa tunawaza nini. Mfano 1. Tumeweka Ubungo flyover ili tuweze kupunguza msongamano wa magari kwenye taa za Ubungo...proposal imeandikwa vizuri kabisa Ela zikatafutwa na ikajengwa. Flyover imeanza kutumika ameibuka sijui Kanjanja gani ameenda weka matuta...
  7. Leak

    Pamoja na tozo kila kona, Serikali imesitisha mradi wa Barabara ya Kimara-Kibaha?

    Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa kuangalia ni kipande kidogo cha kiluvya -kibaha upande mmoja ndiyo ilikuwa haijawekewa tabaka la...
  8. A

    Kibaha: Afungwa miaka 30 jela kwa kukutwa na bangi

    AFUNGWA MIAKA 30 JELA KWA KUKUTWA NA BANGI - Ukiiba mabillion ya serikali utafungwa miezi miwili MAHAKAMA ya Hakimu mkazi Pwani (Kibaha) imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Ridhiki Omary Marimbwa kwa kosa la kusafirisha kilo 21.86 za dawa za kulevya aina ya bangi. Hukumu hiyo ilitolewa...
  9. P

    Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

    Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
  10. wa stendi

    Ni lini Kibaha ilitangazwa kuwa mji?

    Sijui niseme labda sina kumbukumbu au ni mimi tuu sielewi maana nimeenda ofisi moja kuchukua barua nimekuta juu kumeandika ofisi ya mkuu wa ......... "mji wa kibaha" sasa kidogo nimeshangaa naombeni mnitoe tongotongo wakuu.
  11. luangalila

    Sara Msafiri, DC mteule wa Kibaha ndio nani?

    Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake. Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info. Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi? Marital status yake? Je, ni mlipukaji?
  12. A

    Plot4Sale Shamba linauzwa Kibaha Pwani

    Shamba linauzwa, Kibaha Mlandizi Miswe ukubwa eka 55. Chanzo cha maji huakika, kilimo kipindi chote kwa mwaka,maji ya mto ruvu na mto msumbiji. Linafaa kwa kilimo cha mazao mengi, ulimaji wa mboga,na ufugaji Samaki.udongo mweusi,usioitaji mbolea. Njia ya kufika kupitia bagamoyo au mlandizi...
  13. beth

    Kibaha, Pwani: Mtoto ajinyonga baada ya mama yake kumtuhumu kuiba Tsh. 5000

    Mtoto wa kike mwenye miaka 14 mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Mtongani amejinyonga hadi kufa nyumbani kwao Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani baada ya mama yake mzazi kumtuhumu kuiba Sh5,000. Akizungumza leo Jumatano Mei 26, 2021 Kamanda wa polisi mkoani Pwani, Wankyo...
  14. Erythrocyte

    BAVICHA yafika gereza la Mkuza Kibaha katika Muendelezo wa kuwafariji na kuwasalimia wafungwa wa kisiasa

    Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji . Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
  15. kmbwembwe

    Je, bandari kavu Kibaha kupunguza msongamano Dar umeyeyuka?

    Mojawapo ya mipango madhubuti chini ya Hayati Dkt. John Magufuli ilikua uanzishaji bandari kavu Kibaha ili kuhamisha shughuli ya uchukuaji mizigo ya ma-container nje ya bandari. Kusudi la mradi huo ni ili kuondoa msongamano wa malori katikati ya jiji na pia kuondoa msongamano bandari ya Dar es...
  16. K

    TANROADS, vipi ile kasi ya kumalizia barabara kuingia stand kuu ya Mbezi Luis na njia sita Kimara hadi Kibaha? Mbona hakuna kinachoendelea?

    TANROADS, mbona barabara ya kuingia stand ya mabasi Mbezi Luis progress yake ni zero? Au ndo imeyeyuka hivyo? Je, hii ya njia sita mbona pia hakuna kinachoendelea?
  17. Tomaa Mireni

    Kufika 2030 miji hii itakuwa mikubwa na iliyopangwa vizuri sana

    1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM. 2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
Back
Top Bottom