Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.
Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys, Kibaha sekondari, Uwata sekondari nk. Je tatizo ni nini? Mkeka huu hapa:
Kemebos Sekondari, Kagera -...
Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
Nikiwa kama mkazi ndani ya Halmshauri ya mji huu,
Kiukweli zoezi la postikodi lina hujumiwa licha ya jitihada ya serikali kuwapa taarifa wananchi mara kwa mara juu ya zoezi hili.
Ndani ya halmashauri hii ikiwa leo ni tareh 15 ya mwezi April, kuna kata ambayo sitaitaja zoezi la ukusanyaji wa...
Habari wadau,
Kuna mama mmoja anauza eneo kibaha mnemela umbali kilometer saba kutoka hospital ya tumbi. Eneo nimeenda kuliangalia leo huko, maeneo ya kibaoni, mbele ya Boko Mnemela. Eneo ni tambarare na lina ekari mbili kasoro kidogo kutokana na kuweka njia kidogo pembeni ukingoni mwa eneo...
Natanguliza shukrani wakuu,
Hivi n kwa nini idadi ya waombaji wengi katika vyuo tajwa hapo juu uwa inakuwa kubwa kuliko vyuo vingine, kila mwaka,wenye kuvijua vizuri vyuo hivi atoe mwongozo.
Hello JF
Niende kwenye mada straight, ni wakati muafaka Jobo Ndugai aweke hadharani legacy yake ya uspika na ya kibunge huko kongwa sambamba na oanisho la kumnanga ndugu Lissu kuhusu ubunge wake wa miaka10 huko Singida Mashariki kwamba hakuacha legacy yoyote.
Baada ya kuachia kiti cha uspika...
Kuna huu mchongo ambao unaendelea Kibaha japo kuna washkaji zangu nilizungumza nao wanadai kuwa siyo Kibaha peke yake bali maeneo mengi.
Inadaiwa kuwa wana mchezo wa kubambikia watu bili za maji.
Inashangaza kidogo kwa kuwa malipo unalipia online, waoa wanafaidikaje hapo au ni uzembe wao tu...
Wadau kwema,
Hawa wahusika. Tajwa hapo juu hakika wamekuwa SUGU, hawa mabwana kila ukiwatembelea pale ofisi kwao kuwauliza kulikon mbona hatufungiwi umeme? Wanasema kwa sasa wanafungia wateja walio omba umeme mwezi wa 8.
Yaan since Januari hawa jamaa wanawafungia umeme wateja wa mwezi wa 8...
Kipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu...
Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika.
Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya...
Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini.
.
Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
.
Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
Ni siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme...
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.
Ujenziwa daraja...
Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
Waziri Makamba Ukipata wasaa wa kupitia UZI huu basi usisite kutembelea hii ofisi ya TANESCO Kibaha.
Wiki mbili zilizopita nilifika ofisi ya TANESCO Kibaha nikirejesha fomu yangu ya maombi ili niweze kupangiwa Surveyor, nikiwa pale ofisini kwao nikaona Tangazo ambalo lilihusu upimaji (surveyor)...
Nafikiria kuanzisha local delivery company ya bidhaa za nyumbani, kwa kutumia baiskel za umeme especially eneo la Kibaha. Nakaribisha mwenye mawazo kama haya awekeze knowledge na muda namna gani inaweza kufanyika kwa ufanisi.
Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu.
==================================
Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.