kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    DOKEZO Tatizo la maji Kibaha Mwanarugali mwezi mzima hayatoki, huduma kwa wateja wanasema tumpigie Waziri Aweso

    Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje! Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
  2. Roving Journalist

    Dawasa Kibaha yarejesha huduma ya kuunganisha maji kwa wateja wapya

    Meneja wa DAWASA Kibaha, Alfa Ambokile amesema “Kila ofisi au taasisi inaweza kupitia kipindi fulani kigumu lakini huduma ya kuunganisha maji tayari imerejeshwa na hata leo hii (Agosti 28, 2023) tumehudumia wateja wapya wa kuunganishiwa maji. Tulisitisha kipindi cha ukame Mwaka jana (2022)...
  3. A

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili Kila kimoja ukubwa squire meter 400. Bei kwa kimoja milioni tatu. Kwa vyote viwili milioni 5. Km 5 kutoka morogoro road Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000. Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco. Mawasiliano :+255766042214
  4. A

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili Kila kimoja ukubwa squire meter 400. Bei kwa kimoja milioni tatu. Kwa vyote viwili milioni 5. Km 5 kutoka morogoro road Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000. Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco. Mawasiliano :+255766042214
  5. S

    DOKEZO DAWASA Kibaha Wamesitisha Huduma ya Kuunganisha Maji kwa Wateja wapya

    Habari za leo ndugu zangu? Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo. DAWASA Kibaha wanapokea maombi mapya, lakini hawatoi bili za malipo (control namba), wanadai wameishiwa vifaa. Wadau...
  6. BigTall

    Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  7. JanguKamaJangu

    Uhaba wa mafuta unaisogelea Dar, bei ya Petroli kwa Kibaha yapanda kutoka Tsh. 2,700 hadi 3,700 ghafla

    Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo. Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya...
  8. M

    Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

    Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
  9. A

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kipo kibaha kwa Mathias, Squire meter 400. Kipo msangani juhudi,jirani na stend ya bajaji Bei milioni 3
  10. BigTall

    Serikali iangalie hili la Zahanati ya Kongowe Kibaha kuwadai wajawazito Sh 20,000 kwa lazima

    Kuna Zahanati ya Serikali ipo Kibaha Kongowe inaitwa Zahanati ya Kongowe ipo karibu na Shule ya Msingi Kongowe, mama mjamzito akienda kuanza kliniki anaombwa Shilingi 20,000 kwa lazima, kiasi ambacho hakipo kwenye mahesabu yoyote ya huduma. Ikitokea aliyeombwa hana au amekataa kutoa...
  11. C

    House4Sale House For Sale - Kibaha CBD

    House for Sale 3 Bedrooms 1 Sitting Room 1 Kitchen Plot size: 35 X 20 Location: Kibaha, Kwa Mathias, Tanzania Price: 35,000,000 TZs ($15,225) Call: +255 658 700 510
  12. B

    RC Kunenge apokea kilio cha wanaotumia mabasi ya mwendo kasi kituo cha Kibaha bus terminal

    Mkuu Mkoa wa Pwani Mhe. Alhaj Aboubakar Kunenge, akizungumza na abiria kwenye Kituo Kikuu cha Mbasi Kibaha Mei 2, 2023. WANANCHI wanaotumia usafiri wa mabasi ya Mwendo Kasi (DART) kwenye Kiituo Kikuu cha mabasi Kibaha Mkoani Pwani, (Kibaha Bus Terminal) wametoa malalamiko yao kwa Mkuu Mkoa wa...
  13. Cetshwayo Kampande

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

    Ipo kibaha visiga,nyumba ya kisasa, Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko, Uwanja mkubwa squire meter 800 Ina fensi ya kisasa. Umeme na maji vipo, Umbali km moja kutoka morogoro road, Bei milioni 35.negotiable
  14. Z

    Waziri wa Ujenzi, kuna shida gani ujenzi wa barabara ya Mwendokasi kutokea Kimara Mwisho hadi Kibaha?

    Ndugu Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa pamoja na watendaji wote wa TANROAD Mkoa wa DSM. Wananchi wanataka kujua kuna tatizo gani au kitu gani kimekwamisha kukamilika na kuanza kutumika barabara ya mwendo Kasi kuanzia kimara mwisho hadi mpakani kibaha? Barabara ya mwendo Kasi kuanzia eneo hilo...
  15. mdukuzi

    Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

    Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere. Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo. Kuna...
  16. shin gun wook

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha, Kwa Mathias

    A plot for sale Kibaha Kwa Mathias. Ukubwa: Mita 20 kwa 20. Umbali: Km 5 Bara bara ya lami. Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000. Umeme na maji ya dawasco yapo. Huduma za kijamii zote zipo. Kipo jirani na shule. Bei milioni tatu na nusu +255766042214
  17. BARD AI

    Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  18. kikoozi

    Naomba kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani wilaya ya Kibaha

    Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha (Posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine). Msaada tafadhali ndugu zangu.
  19. Chance ndoto

    House4Sale Nauza nyumba kibaha Picha ya ndege 45 ml

    NYUMBA INAUZWA Milioni 45 tu(45,000,000/-) Ilipo kibaha picha ya ndege. Kilomita moja kutoka main road. ENEO UKUBWA 20*25 VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO LA NDANI Nyumba ni nzuri sana mawasiliano 0783985530 karibuni sana
  20. M

    Mwendokasi njia ya Kibaha wanachelewesha abiria

    Wito kwa DART kuboresha huduma ya Mabasi ya Kimara to Kibaha. Leo tarehe 20/3/2023 nimefika Kimara saa 2.30 asubuhi na abiria walikuwa wamejaa wa kwenda Kibaha lakini Dereva wa basi hakua na haraka ya kusogea abiria walipo ili gari iende Kibaha. Baada ya kusubiri kwa nusu saa na kwenda...
Back
Top Bottom