kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasri Homes Tz

    House4Sale Kibaha: 4 Bedrooms House on 1.5 Acres For Sale - Pwani

    • Direction: Mailimoja Mkoani, 500 meters off Morogoro Road • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Condition: Good • Plot Area: 6,000+ sqm (1.5 acres) • Document: Title deed • Price: TSH 150 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ plot yake ni ya kona ✓ imezungukwa na barabara ya lami ✓ pia...
  2. Roving Journalist

    Halmashauri ya Kibaha yasema imetumia Milioni 410 ya Mapato ya Ndani kununua Madawati na Meza 4000

    Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa Madawati 2000,Viti na Meza 2000 zenye thamani ya Shilingi 410,000,000 zilizotokana na Mapato ya ndani...
  3. Abdul Said Naumanga

    KIBAHA: Wakili Riziki Majallah auwawa na mwanaye wa kumzaa kisa kumnyima pesa

    Katika tukio la kusikitisha lililotokea tarehe 18 Oktoba 2024, Juma Majalla, mtoto wa kwanza wa Wakili Riziki Majalla, amekamatwa na polisi wa Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua baba yake baada ya mzozo wa kifedha. Inasemekana kuwa Juma alimua baba yake kwa makusudi baada ya baba yake huyo...
  4. Revolution 22

    Kiwanja Kibaha maili moja kwa bajeti ya milioni 7!

    Wakuu habari, nina bajeti ya milioni 7 nahitaji kiwanja maeneo ya Kibaha mail moja Kiwe at list KM3 mpaka tano kutoka stendi, naamini humu kuna wenyeji na wenye viwanja maeneo naweza pata surveyed plot kwa bajeti hiyo?
  5. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kibaha, Bilioni 3.5 Zimetumika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na kuridhishwa na matumizi ya fedha yaliyotolewa kwa awamu na Serikali ambapo kiasi cha Shilingi Bilioni 3.5 kimetumika katika ujenzi wa majengo mbalimbali katika Hospitali hiyo. Bashungwa...
  6. Roving Journalist

    Halmashauri ya Mji Kibaha kutoa mikopo ya Tsh. Bilioni 1.6 kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa ametangaza uwepo wa fedha hiyo kwa...
  7. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Kibaha: 3,886 Sqm Plot For Sale - Pwani

    • Direction: Picha ya Ndege • Survey: Surveyed and planted with beacons • Plot Area: 3,886 sqm • Document: Sales agreement (title still on process) • Price: TSH 100 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ iko levo ✓ miundo mbinu yote ipo ✓ inafaa ujenzi wa makazi au biashara ...
  8. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Kibaha: 1,998 Sqm Plot For Sale - Pwani

    • Direction: Tanita, 1 km off Morogoro Road • Plot Area: 1,998 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 75 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ iko levo ✓ ina uzio ✓ miundo mbinu yote ipo ✓ inafaa ujenzi wa makazi au biashara . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788
  9. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Kibaha: 1,500 Sqm Plot For Sale - Pwani

    • Direction: Kibaha Bus Terminal, 100 meters off Morogoro Road • Plot Area: 1,500 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 70 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ kiko levo ✓ miundo mbinu yote ipo ✓ kinafaa ujenzi wa nyumba ya kuishi; nyumba za kupangisha; nyumba ya kulala wageni; hoteli...
  10. ESCORT 1

    Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  11. Natafuta kiki

    DOKEZO Mkurugenzi na Afisa Elimu Kibaha mji: Wamewasimamisha kazi Walimu Watano wa Shule ya Mwambisi Sekondari

    Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari sekondari iliyopo kata ya Kongowe halmshauri ya mji kibaha kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi...
  12. M

    KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

    Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya. Je ni haki? Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
  13. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  14. E

    SHAMBA LINAUZWA KIBAHA MADAFU

    Shamba Heka Mbili Na Nusu Limeshuka Bei Kutoka Million 10 Mpaka Milioni 8 tu Lipo Kibaha Madafu Mmiliki anachangamoto ya mgonjwa Mwenye Uhitaji Wa Shamba Aje Chap Tuongee Biashara, Shamba Liko Umbali Wa Kilomita 6 Kutoka Morogoro Road, 0675 065906
  15. M

    Mdude Chadema: Tukutane kwa Kibaha kwa Mathias Kanisa la ufufuo na uzima. Maombi maalumu kwa waliotekwa.

  16. Emmanuel Ndegeya

    KERO Tatizo la Upatikanaji wa Maji Kibaha Mji kata ya Pangani na Vitongoji vyake

    Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani. Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi sasa kwa wakazi wa Kata ya Pangani mitaa ya Mtakuja, Kidimu, Pangani yenyewe na mitaa mingine...
  17. Manka R

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mpiji karibu na shule ya msingi Muheza

    Miguu 20*20 bei million tano Vipo eneo zuri barabara kubwa ya mtaa Piga: 0789 149 581
  18. uberimae fidei

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kipo Kibaha kwa Mathias Msangani karibia na zahanati ya Msangani. Kina ukubwa mita 30 Kwa mita 20. Bei milioni 3. Miundo mbinu iko vizuri. Barabara ya lami, bajaji 1000, boda 1500.
  19. Suley2019

    FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
  20. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
Back
Top Bottom