kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Serikali isikie kilio chetu, kuna Watu Watatu wanatishia kubomoa nyumba zetu zaidi ya 340 Kibaha kwa Mfipa

    Mimi ni Mkazi wa Kibaha kwa Mfipa, Kata ya Viziwa Ziwa, Kitongoji cha Sagale Kabimbini (Sauti ya Umma) Mkoani Pwani. Ninajitokeza kuandika malalamiko kwa niaba ya Wananchi wenzangu zaidi ya 340 tunaoishi katika eneo hilo nililolitaja juu. Tunaamini kupitia JamiiForums ujumbe huu utafika katika...
  2. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  3. maroon7

    Foleni ya kutisha Kibaha - Ruvu muda huu

    Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu. Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
  4. mtwa mkulu

    Nyumba inauzwa kibaha mwenda pole

    Nyumba inauzwa ipo kibaha mwenda pole. Si mbali na barabara kuu iendayo dar es salaam. Ina vyumba 3 master 2 single Moja Ina sitting room dining room jiko store umeme maji mabanda ya kuku ya kisasa Ina tiles na madirisha ya aluminum. Ukubwa wa eneo ni hatua 20 Kwa 60. Bei ni sh milioni 80 Tu...
  5. A

    SGR ingekuwa Vyema Ingepita Chalinze na Kibaha

    Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es Salaam kwa Urahisi sana Sijui kwa nini Wenye maamuzi hawakuliina hili Hii tabia ya kupitisha treni...
  6. Roving Journalist

    DAWASA yafafanua sababu za Wakazi wa Muheza Kibaha kukosa huduma ya maji kwa wiki nzima

    Baada ya malalamiko ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wananchi wa Mtaa wa Muheza na Tankini, Kibaha-Maili Moja Mkoani Pwani hawana huduma ya maji kwa muda wa wiki moja, Mamlaka imeto ufafanuzi. Kusoma malalamiko ya Mdau, bofya hapa ~ Wananchi wa Tankini na Muheza - Kibaha hatuna huduma ya...
  7. Roving Journalist

    Halmashauri ya Kibaha Mji: Hatuhusiki mgogoro wa eneo la Matuga, Maafisa wetu walioenda huko walikuwa na mambo yao binafsi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna kuna baadhi ya Mafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji wamekuwa wakiwasumbua Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini kwa kuwatishia ili kuwaondoa kwenye makazi yao, Kibaha Mji imetoa ufafanuzi wa kinachoendelea. Innocent Byarugaba, ambaye ni Afisa Mawasiliano...
  8. Sonship

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja

    Nyumba ya kisasa inauzwa kibaha maili moja........ Ina vyumba vitatu kimoja self Sitting,dining,kitchen & public toilet Gypsum na tiles vyumba vyote Bei mln 46 tu Document:Sales agreement 0675 065906 Iko mtaa nzuri umeme na maji yapo
  9. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Msufini

    NYUMBA (BINAFSI) NZURI IMEJENGWA KISASA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI. IKO KWENYE CORNER PLOT, NI KILOMITA 1 TU TOKA MAIN ROAD LOC : KIBAHA KARIBU NA MSUFINI MLANDIZI AREA :SQM 534 PRICE : MIL 38 UMILIKI :HATI SIFA:- -INA VYUMBA 3, MASTER 1 -SITTING ROOM -DINNING -JIKO KUBWA NA STORE -CHOO CHA...
  10. Songambele

    Stand ya Loliondo Kibaha aibu kwa Serikali ya Mkoa wa Pwani

    Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa Mattias, kongowe au mlandizi kupitia Loliondo. Miundombinu ya kuingia njia hiyo ndio shida ilipo...
  11. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  12. MOSintel Inc

    Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- : * Mafuta ni masafi * Hayana harufu, * Sio ya kuchemsha na * Si machungu * Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  13. BigTall

    Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja hali ni mbaya, Mbunge kaingia mitini, DC na RC wameuchuna tu

    Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha. Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara inayoanzia Kituo cha Sheli kuelekea Muheza hadi Mpiji, sasa hivi magari hayapiti kwa urahisi, yakipita ni...
  14. proisra

    KERO Halmashauri ya Mji Kibaha amkeni, tatueni kero za barabara mbovu

    Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kushindwa kuweka vipaumbele vya ujenzi wa barabara za pembezoni na hasa katika...
  15. A

    KERO Mamlaka ya Maji Kibaha kuna urasimu mkubwa sana

    Ukiomba kupata huduma ya kuunganishiwa maji DAWASCO Kibaha, uwe umejiandaa kifedha. Zoezi linaanza kumpata surveyor, bila elfu hamsini hatafika site. Ukishatoa hiyo hela na surveyor akapima zoezi. linalofuata ni kuingizwa kwenye mifumo yao hatimae upate Control Number kwa ajili ya kulipia...
  16. uberimae fidei

    House4Sale House for sale at Kibaha Mlandizi

    Ina vyumba 4, viwili master bedroom. Kiwanja kikubwa, square meter 1200 Umbali km 1 kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo Bei milioni 45
  17. TODAYS

    Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  18. C

    Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

    NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5 Square mita 300 Bado sijapata mteja sahihi. NATAKA...
  19. JanguKamaJangu

    Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?

    Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia. Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na n ahata kama taka zote zilizosambaa chini zingewekwa kwenye pipa hilo bado zisingetosha. Nasema...
  20. C

    Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa! Pori hili...
Back
Top Bottom